DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Mama wema amenyamaza kwa muda mrefu sana alipokuwa anaulizwa kuhusu wema sepetu nafikiri katika watu waliohojiwa zaidi ni yeye na mama dangote..Wapo wamama wanaokubali. Mfano mama yake na Wema Sepetu
Mama wema alibeba mzigo mkubwa na lawama na matusi kuhusu mwanaye Ametukanwa sana kwa sababu ya mwanae ambaye yeye mwenyewe hajali anaongeza tu body count (Sijui kama sahizi hafiki 200)
Mbaya zaidi kutaka kumuingiza mama yake katika dharau kubwa ya mwaka..
Kwamba anamualika kwenye sherehe yake halafu Yeye kama mama ashuhudie wema wakishikana shikana na kijana mwingine bila ndoa wala uchumba na wakati huo yeye kama mama akiwepo..
Imagine watu wangesemaje kama asinge Act kwamba mama wema kabariki tabia za mwanaye?
Kama mama ilibidi kuvaa koti kavu na kujidefend mwenyewe kutokuchafuka kwa Brand yake ya umama kwa hyo lazma ali Act upon...
Niambie ungekuwa wewe ndo mwanao kakufanyia hivyo ungemchekea? Licha ya matusi na kejeli unazopewa kwa kumtetea?