Nafikiria kuacha kazi ya ulinzi kabla ya 2025

Nizaga

New Member
Joined
Oct 24, 2024
Posts
1
Reaction score
18
Habari za muda huu hapa,

Naishi Dsm Nina familia ya mke na mtoto mmoja.

Kazi --nimeanza kufanya kazi ya ULINZI kwenye kampuni binafsi la Gardworld, nikiwa hapa hapa Dsm.
Maisha yamekuwa magumu sana na hakuna maendeleo yoyote nayoyaona zaidi ya kulipia Kodi,na kupata Hela ya kula basi,Ukizingatia huu ni mwaka wa 3 Sasa nipo kwenye kazi hii.

Awali tulikuwa tunalipwa 250k take home baadae ikaja kupanda Hadi 370k take home,kibaya zaidi LINDO nilililokuwepo mkataba ukafa ikabidi tupewe termination letter na watu wengi sana waliachishwa kazi ilikuwa 2022 kuingia 2023 ,nikasain garda west kama kampuni ndogo yake na mshahara kubakia 250k Tena.

Nimefanikiwa kununua eneo la eka Moja Morogoro.

Hii kazi Sasa naona niache nikafanye shughuli ata za kilimo shamba kuliko kuendelea kuteseka namna hii,unalala nje mbu wako, mvua yako,jua lako, mashanyanyaso mengi, hupati haki zako za Msingi.

Mawazo yenu wadau,au nitakuwa nakosea kuacha kazi hii ambayo haina manufaa zaidi sana ni kudumaza akili tu.

Elimu yangu nimesoma diploma ya Agri business lakini nimetuma maombi ya kazi mara nyingi sijabahatika kupata kazi ya career yangu.

Mshahara wa 250000 Kwa Jiji hili la Dsm naona napoteza muda wangu tu.

Naomba ushauri wowote nitasoma Kila comment.
 
Kazi unafanya wewe ushauri tukupe sisi. Wewe mtoto wa kiume Acha kuomba omba ushauri kama binti
Kama mtafutaji mwenzako na mtoto wa kiume pia naweza kukupa ushauri kidogo.

Ukiona mwanaume mwenzako anakuja na mada kama hizi tena haombi pesa ila ushauri inabidi umfikirie mara mbili. Sometimes mambo yanatutinga na huna wa kuongea nae ndio maana unakutana na mada kama hizi.

Kuna jamaa miaka kipindi namaliza shule ya msingi kitambo kidogo, alinifundisha mbinu fulani ya kuitumia kama unataka kuwa na busara.

Aliniambia fikiria kitu chochote kile cha kipuuzi na kipumbavu ambacho unahisi ukikisema mbele za watu lazima washtuke. Akanipa kama sekunde kumi za kufikiria. Kisha akaniuliza kama nimekipata, nikajibu ndio huku nikiwa na hamu kweli ya kukisema lakini you know what? Alinikata moto kwa kunizuia nisiseme.

Hivyo ndio tunavyomasta kutoongea upumbavu mbele za watu na kuwa mtu mwenye busara.

Ulikua na chaguo la kutocomment kwa kuwa huna cha kumshauri ila ukaona kumfananisha na binti ni chaguo sahihi.

Don't take it personal bro, ushauri tu.
 
Kama mtafutaji mwenzako na mtoto wa kiume pia naweza kukupa ushauri kidogo.

Ukiona mwanaume mwenzako anakuja na mada kama hizi tena haombi pesa ila ushauri inabidi umfikirie mara mbili. Sometimes mambo yanatutinga na huna wa kuongea nae ndio maana unakutana na mada kama hizi.

Kuna jamaa miaka kipindi namaliza shule ya msingi kitambo kidogo, alinifundisha mbinu fulani ya kuitumia kama unataka kuwa na busara.

Aliniambia fikiria kitu chochote kile cha kipuuzi na kipumbavu ambacho unahisi ukikisema mbele za watu lazima washtuke. Akanipa kama sekunde kumi za kufikiria. Kisha akaniuliza kama nimekipata, nikajibu ndio huku nikiwa na hamu kweli ya kukisema lakini you know what? Alinikata moto kwa kunizuia nisiseme.

Hivyo ndio tunavyomasta kuongea upumbavu mbele za watu na kuwa mtu mwenye busara.

Ulikua na chaguo la kutocomment kwa kuwa huna cha kumshauri ila ukaona kumfananisha na binti ni chaguo sahihi.

Don't take it personal bro, ushauri tu.
Wewe ni PhD holder kabsa.
 
Habari za muda huu hapa,

Naishi Dsm Nina familia ya mke na mtoto mmoja.

Kazi --nimeanza kufanya kazi ya ULINZI kwenye kampuni binafsi la Gardworld, nikiwa hapa hapa Dsm.
Maisha yamekuwa magumu sana na hakuna maendeleo yoyote nayoyaona zaidi ya kulipia Kodi,na kupata Hela ya kula basi,Ukizingatia huu ni mwaka wa 3 Sasa nipo kwenye kazi hii.

Awali tulikuwa tunalipwa 250k take home baadae ikaja kupanda Hadi 370k take home,kibaya zaidi LINDO nilililokuwepo mkataba ukafa ikabidi tupewe termination letter na watu wengi sana waliachishwa kazi ilikuwa 2022 kuingia 2023 ,nikasain garda west kama kampuni ndogo yake na mshahara kubakia 250k Tena.

Nimefanikiwa kununua eneo la eka Moja Morogoro.

Hii kazi Sasa naona niache nikafanye shughuli ata za kilimo shamba kuliko kuendelea kuteseka namna hii,unalala nje mbu wako, mvua yako,jua lako, mashanyanyaso mengi, hupati haki zako za Msingi.

Mawazo yenu wadau,au nitakuwa nakosea kuacha kazi hii ambayo haina manufaa zaidi sana ni kudumaza akili tu.

Elimu yangu nimesoma diploma ya Agri business lakini nimetuma maombi ya kazi mara nyingi sijabahatika kupata kazi ya career yangu.

Mshahara wa 250000 Kwa Jiji hili la Dsm naona napoteza muda wangu tu.

Naomba ushauri wowote nitasoma Kila comment.
Inahitaji mchanganuo kujitoa na kutokata tamaa
Mimi nilifukuzwa kazi na nilikuwa na hali ngumu kuliko maelezo lakini baadae nikashukuru MUngu kwa waliotengeneza ile Fitna na HUsda manake ilikuwa ndio njia yangu ya mafanikio....
KWA KIFUPI
Njia ya mafanikio ina MACHUNGU mengi sana sana,,,,,,inaweza mpaka kusambaratisha ndoa.......
BUT IS WHAT YOU BELIEVE 👍
 
Pole Sana na hongera Sana .

Kama una Elimu kuhusu kilimo Mimi nikushauri ufanye mpango wa kuwasiliana na wakulima wenzako ambao wanahitaji kuwekeza katika kilimo then mfanye - partnership

Wewe uwekeze nguvu na muda wao wao wawekeze pesa .

Then mkivuna mtakuwa mnagawana faida.

Kazi za ulinzi Kama hizo za kupewa 250K hauwezi kufanikiwa utaishia kuwa mtumwa

Kama umesoma sio lazima uajiriwe na serikali Jaribu kutumia huo ujuzi wako wa kilimo kujiajiri .

Kabla ya kuacha Kazi unaweza Kuwa na utamauni wa kwenda Morogoro na sehemu mbalimbali unakutana na wakulima then uone Kama utapata Gap.

Ukipata gap piga chini hiyo kazi
 
Habari za muda huu hapa,

Naishi Dsm Nina familia ya mke na mtoto mmoja.

Kazi --nimeanza kufanya kazi ya ULINZI kwenye kampuni binafsi la Gardworld, nikiwa hapa hapa Dsm.
Maisha yamekuwa magumu sana na hakuna maendeleo yoyote nayoyaona zaidi ya kulipia Kodi,na kupata Hela ya kula basi,Ukizingatia huu ni mwaka wa 3 Sasa nipo kwenye kazi hii.

Awali tulikuwa tunalipwa 250k take home baadae ikaja kupanda Hadi 370k take home,kibaya zaidi LINDO nilililokuwepo mkataba ukafa ikabidi tupewe termination letter na watu wengi sana waliachishwa kazi ilikuwa 2022 kuingia 2023 ,nikasain garda west kama kampuni ndogo yake na mshahara kubakia 250k Tena.

Nimefanikiwa kununua eneo la eka Moja Morogoro.

Hii kazi Sasa naona niache nikafanye shughuli ata za kilimo shamba kuliko kuendelea kuteseka namna hii,unalala nje mbu wako, mvua yako,jua lako, mashanyanyaso mengi, hupati haki zako za Msingi.

Mawazo yenu wadau,au nitakuwa nakosea kuacha kazi hii ambayo haina manufaa zaidi sana ni kudumaza akili tu.

Elimu yangu nimesoma diploma ya Agri business lakini nimetuma maombi ya kazi mara nyingi sijabahatika kupata kazi ya career yangu.

Mshahara wa 250000 Kwa Jiji hili la Dsm naona napoteza muda wangu tu.

Naomba ushauri wowote nitasoma Kila comment.
Mnatutukanaga sisi wabeba box hatuna lolote. Tunachamba marinda ya wakongwe hadi tumechizika. Haya bana kila la heri.

Dr Restart HIMARS inamankusweke

Nyau de adriz
 
fanya chochote kama umeshaona hutoboi ....jishughulishe hata na kuuza genge utapiga hela kuliko hio 250 na expirience kipao kila siku..usikimbie jiji...uza hata condom kwenye ma pub usiku mixe nyagi ya kupima na fegi night utatoboa kuliko hivyo sasa maana kukesha ushazoea... tengeneza toroli fuatilia wenzako wanafanyaje...pale shekilango pakuanzia hakuna kulala..gari zinaingia zinatoka mixer mishikaki ya kichwa cha ngombe hahaha
 
Back
Top Bottom