Nafikiria kuachana na mke wangu

Nafikiria kuachana na mke wangu

Pole sana mkuu...

Nna maswali machache kwako,...

1.Huyo mwanamke umezaa nae watoto wangapi?

2.Ushawahi kumuonya mara ngapi?

3.Hizo habari za kusubiliwa na mtu mwingine umesisikia kwa majirani au kwenye kinywa chake?

4.Una umri gani mpaka useme hutaoa tena?

5.Mkiachana na huyo mwanamke are you sure watoto wako watakuwa safe?

6.Mlifunga ndoa au ni ile sogea tuishi?

Think wisely mkuu... nikutakie jioni njema na weekend njema ahead...
 
Back
Top Bottom