Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Naunga mkono hojaKuna jambo nimemwekeza alifanye vile mimi nataka Kwa kiburi kasema yeye hatofanya,pia kwenye maongezi yake nimesikia akisema nikimwacha Kuna mtu yupo anasubiri hiyo bahati Kwa hamu.
Pengine nafikiria nikiwa huru peke yangu nitafurahia maisha zaidi ijapokuwa nishamzalisha watoto ila naona Kwa huyu mwanamke siwezi kufanya milango yoyote ya maana Kwa kuwa naona tunatofautiana iq sana kiasi kuwa nilikuwa namvumilia hata akiniweka kwenye hasara.
Kimsingi sitaoa tena nitaishi maisha yangu lonely.