DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kataa ndoa tunza Afya ya akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jambo nimemwekeza alifanye vile mimi nataka Kwa kiburi kasema yeye hatofanya,pia kwenye maongezi yake nimesikia akisema nikimwacha Kuna mtu yupo anasubiri hiyo bahati Kwa hamu.
Pengine nafikiria nikiwa huru peke yangu nitafurahia maisha zaidi ijapokuwa nishamzalisha watoto ila naona Kwa huyu mwanamke siwezi kufanya milango yoyote ya maana Kwa kuwa naona tunatofautiana iq sana kiasi kuwa nilikuwa namvumilia hata akiniweka kwenye hasara.
Kimsingi sitaoa tena nitaishi maisha yangu lonely.
Tatizo hamuwasikilizi wakataa ndoa cc dronedrakeTupo pamoja mkuu, hata mie nipo kwenye mchakato wa kumuacha mke wangu pia.. bora tuendelee na maisha yetu ya upweke tu
tumewasikiliza sasa mkuuTatizo hamuwasikilizi wakataa ndoa cc dronedrake
Naona anatest mitambo, ukilegea tu anakudharau.Kuna jambo nimemwekeza alifanye vile mimi nataka Kwa kiburi kasema yeye hatofanya,pia kwenye maongezi yake nimesikia akisema nikimwacha Kuna mtu yupo anasubiri hiyo bahati Kwa hamu.
Pengine nafikiria nikiwa huru peke yangu nitafurahia maisha zaidi ijapokuwa nishamzalisha watoto ila naona Kwa huyu mwanamke siwezi kufanya milango yoyote ya maana Kwa kuwa naona tunatofautiana iq sana kiasi kuwa nilikuwa namvumilia hata akiniweka kwenye hasara.
Kimsingi sitaoa tena nitaishi maisha yangu lonely.
Kwa jinsi ulivyoandika hapa unaonekana ni mwanaume mwenye hulka ya gubu, mtu wa kulalamika lalamika, usiye na moyo wa shukrani, unataka kila mtu aende unavyotaka wewe akienda tofauti kwako inakusumbua sana. kwa tabia hizo nilizotaja hapo juu sio tu zitakusumbua kuishi na mke wako bali kila mtu anayekuzunguka, ukimwacha huyo mke wako kinachofuata ni kutengwa na wote uliodhani wako pamoja na wewe kumbe sivyo. Bet me if am wrongKuna jambo nimemwekeza alifanye vile mimi nataka Kwa kiburi kasema yeye hatofanya,pia kwenye maongezi yake nimesikia akisema nikimwacha Kuna mtu yupo anasubiri hiyo bahati Kwa hamu.
Pengine nafikiria nikiwa huru peke yangu nitafurahia maisha zaidi ijapokuwa nishamzalisha watoto ila naona Kwa huyu mwanamke siwezi kufanya milango yoyote ya maana Kwa kuwa naona tunatofautiana iq sana kiasi kuwa nilikuwa namvumilia hata akiniweka kwenye hasara.
Kimsingi sitaoa tena nitaishi maisha yangu lonely.
Duuh! Unaweza fikria uko peke yako ila sometime wake zetu n kichefuchefu, sijui huwa wanajijua! Au ndio kichaa chaoTuliza akili kwanza mkuu,
Wake zetu sometimes Wana maudhi sn
Hapo Hana lolote, anakurusha roho tu[emoji4]
huyo ni mkeo wa ndia au hawara?Kuna jambo nimemwekeza alifanye vile mimi nataka Kwa kiburi kasema yeye hatofanya,pia kwenye maongezi yake nimesikia akisema nikimwacha Kuna mtu yupo anasubiri hiyo bahati Kwa hamu.
Pengine nafikiria nikiwa huru peke yangu nitafurahia maisha zaidi ijapokuwa nishamzalisha watoto ila naona Kwa huyu mwanamke siwezi kufanya milango yoyote ya maana Kwa kuwa naona tunatofautiana iq sana kiasi kuwa nilikuwa namvumilia hata akiniweka kwenye hasara.
Kimsingi sitaoa tena nitaishi maisha yangu lonely.
Mkuu umenichekesha sana, umewaza nini? Mimi siwezi kumuacha huyu mama...thiwezi asee!Tupo pamoja mkuu, hata mie nipo kwenye mchakato wa kumuacha mke wangu pia.. bora tuendelee na maisha yetu ya upweke tu