Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,823
- 3,816
Achana naye alfu tafuta kadada kazuri uwe unakula ila usimuoe. Wanawake kimsingi, wengi wao, huwa wanakurupuka sana kwenye kufanya maamuzi na hata hizo kauli zake atakuja kujuta. Yote ya yote achana naye kamanda, ukiendelea mkumbatia makubwa yatakufuata. Kuna watu watajuambia oooh mvumilie tu maana mmeunganishwa sijui na mbingu mara imrkaa hivi.. Mh hayo mambo ni upuuzi tu, achana naye na simamia maamuzi yako. Usilazimishe kuishi na mtu kwa yatakuja kutokea puani. Mwisho ni kwamba achana naye