Nafikiria kuachana na mke wangu

Nafikiria kuachana na mke wangu

Ukipuuza huo mkwara umehalalisha uhalisia wake iwapo kuna wanaomchombeza. Mwanamke yoyote hakosi wa kumchombeza.
Suala sio kupuuza,
Suala Ni kufanya anachotaka afu usubiri matokeo, ila nakuapia,hachukui round anarudi[emoji4]
 
Suala sio kupuuza,
Suala Ni kufanya anachotaka afu usubiri matokeo, ila nakuapia,hachukui round anarudi[emoji4]
Akiwa na adabu. Wanawake wengi wanajua kuwa ni wanaume wachache wapo serious na mke wa mtu. Wengi nia ni kuchovya urudi kwa mumeo.
 
Yani mimi mwenyewe kwa kinywa changu nilishawah kutamka kua "kama vipi nirudishe kwetu kwani ulinitoa chini ya mti". Mwaka wa buku nakomaa na mume [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna muda ukichukia sana bora ukae kimya maana unaweza ropoka kitu ambacho baadae unaona ulipuyanga. Sema kwa mtu anayejua mambo yalivyo anachukulia easy tu life linasonga
Sahii kabisa,
Mimi wife akuaga anasema,
"Haya maisha Nmeyachoka bhana"[emoji4]

"Kesho Nirudishe home,mi kwetu sijaua bhana"[emoji28]
 
Kweli Aposto...
Humu kuamua kesi ni vigumu coz watu wanakuja na mazuri yao mabaya yao hawayasemi..
Humu pagumu sana. Miaka ya nyuma nilishawahi kuparuana na mtu kwenye uzi, kisa kutofautiana mawazo juu ya mada husika.

Alaf mwisho wa siku, mtoa mada anasema hana tatizo lolote, ila alikuwa anataka kuona reactions za wadau tu 😅😅
 
Ona sasa...
 
Sahii kabisa,
Mimi wife akuaga anasema,
"Haya maisha Nmeyachoka bhana"[emoji4]

"Kesho Nirudishe home,mi kwetu sijaua bhana"[emoji28]
Mkeo na mimi tayari ni wake wawili tuliosema hayo maneno[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza kuta kila mke ameshawahi yasema hayo maneno kwenye ndoa yake. Truth be told.
 
Mkeo na mimi tayari ni wake wawili tuliosema hayo maneno[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza kuta kila mke ameshawahi yasema hayo maneno kwenye ndoa yake. Truth be told.
Ndoa nyng Sana inatokea,
Hizi kesi kwa jamaa zangu nyng Sana,

Tena Kuna kisa kimoja kilikua too much, Hadi nikatelekeza wanangu mapacha walokua wamezaliwa soon.

Baadae nikaja gundua ilkua rusha roho tu,Hamna lolote Lile,ngoja nitulie nikiandike afu ntaleta kushea humu ili vijana wasome[emoji4]
 
Ukitaka kupata mwanamke anakuabali kila jambo bila kukujibishaaa...Oa mwanamke ambae hajasoma alafu umemzidi umriii

Ujeuri ni tabia ya mtu hata akiwa mamuma kilaza!

Na ukioa wa umri mdogo ni swala Muda baada ya miaka michache utaanza kuona jeuri yake.
 
Ukiona maneno ya mwanamke ili mradi sio matusii yanakusumbuaa kiasi cha kufikiria kutengana nae mtoto wenu aanze kuteseka bhasi jitahidi usiongeze nae mtoto mwingine maana utakuja kutesa viumbe visivyo na hatia sababu ya moyo wako mdogooo. Mleta mada unalia liaa hapa kesho alafu kesho unaweka mimba nyinginee JIZUIEE AU ZOEAA MANENO.
 
Back
Top Bottom