Mpemba Mimi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 1,656
- 2,483
Mkuu piga tu chini mtu wa aina hiyo...Kwanza hamkuzaliwa pamoja.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIAKATAA NDOA
Ukitaka kupata mwanamke anakuabali kila jambo bila kukujibishaaa...Oa mwanamke ambae hajasoma alafu umemzidi umriiiMkuu piga tu chini mtu wa aina hiyo...Kwanza hamkuzaliwa pamoja.....
Nyie mnaoleta visa hivi jeiefu mnaishi wapi? Mbona mitaani hatukutani na hizi cases?Kuna jambo nimemwekeza alifanye vile mimi nataka Kwa kiburi kasema yeye hatofanya,pia kwenye maongezi yake nimesikia akisema nikimwacha Kuna mtu yupo anasubiri hiyo bahati Kwa hamu,pengine nafikiria nikiwa huru peke yangu nitafurahia maisha zaidi ijapokuwa nishamzalisha watoto ila naona Kwa huyu mwanamke siwezi kufanya milango yoyote ya maana Kwa kuwa naona tunatofautiana iq sana kiasi kuwa nilikuwa namvumilia hata akiniweka kwenye hasara .Kimsingi sitaoa tena nitaishi maisha yangu lonely ,
Wala sijakosea mkuu. Kama umesoma vizuri bandiko la jamaa, ni kama anaongea mwenyewe, ila sisi imetokea tu tumemsikia. Haitaji ushauri. Ndio maana nikamwambia kila la kheriApo mwishon umekosea bahati mbaya au Kuna code umeamua kuficha?[emoji848]
Inaonekana hawajui wanawake vizuri huyuWanawake huwa wanakurupuka Sana,
Asipokua makini wanaenda kuwapa majirani faida
Anajua wanawake ni wengi kuliko wanaume. Kwa vile kakutamkia kuwa kuna mwanaume anamsubiri, mpige chini haraka mwachie anayependa makombo akayatumie.Piga chini huyo mwanamke.
Mwanamke akishaanza ku raise sauti kiasi cha kuanza kutamka hayo maneno kuwa yupo mwingine anayesubiria bahati basi hapo huna lako.
Achana naye
Sio kweli AnalyseWala sijakosea mkuu. Kama umesoma vizuri bandiko la jamaa, ni kama anaongea mwenyewe, ila sisi imetokea tu tumemsikia. Haitaji ushauri. Ndio maana nikamwambia kila la kheri
Yaan uyo ndo kwanza kumekucha,Inaonekana hawajui wanawake vizuri huyu
Mwanamke wako ukimjua raha sana huwezi kupanikYaan uyo ndo kwanza kumekucha,
Mi nishafanyiwa Visa lukuki huwa nikikumbuka na wife tunacheka Sana[emoji16]
Mkuu, heart wants, what heart wants.Sio kweli Analyse
Mtoa mada ashauriwe bhana,
Mwandiko wake TU inaonekana kaumia sn
Hii situation ya mtoa mada ishawahi nikuta
Pia huwakuta sn wanandoa wengi
Hasa kipind ndoa ikiwa bado changa ,
Wake zetu husumbua sn, miluzi mingi sn.
Huendeshwa Zaid na hisia kuliko uhalisia
Hajui kipi atamke,kipi asitamke,wakati upi.
Cha kumshaur mtoa mada
Achukue hatua za kinidhamu kukemea isijirudie tn, mkewe anamtikisa kibiriti[emoji4]
SIO KUVUNJA NDOA MOJA KWA MOJA.