Nafikiria kuachana na mke wangu

Nafikiria kuachana na mke wangu

Mkuu, heart wants, what heart wants.

Kumshauri mtu ambae hajawa tayari kushauriwa, ni wastage of time. Kwanza maelezo aliyotoa ni kidogo sana, unaweza hisi mkewe ndio anashida, lakini kumbe jamaa nae anayake.

Utamshauri amvumilie mkewe na amwambie ajirekebishe, lakini kumbe ni yeye ndio anahitaji kuvumiliwa na kijirekebisha.

Maelezo aliyotoa ni kidogo sana, kuweza kumshauri chochote. Ndio maana nimemtakia heri
Mkuu,
Haijalishi jamaa ana kosa au lah

Suala la MKE kutamka vile tayar linamuondolea haki aliyodhani anayo.

Hapa Ni wife kakosea na anapaswa akemewe kwa biti Moja matata San anyooke asirudie Tena[emoji4]
 
Kuna jambo nimemwekeza alifanye vile mimi nataka Kwa kiburi kasema yeye hatofanya,pia kwenye maongezi yake nimesikia akisema nikimwacha Kuna mtu yupo anasubiri hiyo bahati Kwa hamu,pengine nafikiria nikiwa huru peke yangu nitafurahia maisha zaidi ijapokuwa nishamzalisha watoto ila naona Kwa huyu mwanamke siwezi kufanya milango yoyote ya maana Kwa kuwa naona tunatofautiana iq sana kiasi kuwa nilikuwa namvumilia hata akiniweka kwenye hasara .Kimsingi sitaoa tena nitaishi maisha yangu lonely ,
Suluhisho siyo kumwacha, kama ni Muislam ili kupata amani unaoa mke mwengine.

Baada ya kuoa ama atakaa sawa ama atadai talaka. Mwanamke akikudai talaka, usichelewe kumpa, ukichelewa atakufanyia vitimbi, mpe haki yake.

Kama ni mkristo imekula kwako, nijuavyo hakuna kuwachana huko mpaka kwa sababu maalum.


Kama mnaishi tu pamoja hamjaowana kwa imani au sheria yoyote ile basi huyo si mkeo kihalali, mnaishi tu kwenye dhambi.
 
Mtoa mada bado mchanga sn kindoa
Hawajawajua wanawake mnavojichetuaga
Angekutana na mamaJ angeshaua kabisa[emoji28]
Yani mimi mwenyewe kwa kinywa changu nilishawah kutamka kua "kama vipi nirudishe kwetu kwani ulinitoa chini ya mti". Mwaka wa buku nakomaa na mume [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna muda ukichukia sana bora ukae kimya maana unaweza ropoka kitu ambacho baadae unaona ulipuyanga. Sema kwa mtu anayejua mambo yalivyo anachukulia easy tu life linasonga
 
Mkuu, heart wants, what heart wants.

Kumshauri mtu ambae hajawa tayari kushauriwa, ni wastage of time. Kwanza maelezo aliyotoa ni kidogo sana, unaweza hisi mkewe ndio anashida, lakini kumbe jamaa nae anayake.

Utamshauri amvumilie mkewe na amwambie ajirekebishe, lakini kumbe ni yeye ndio anahitaji kuvumiliwa na kijirekebisha.

Maelezo aliyotoa ni kidogo sana, kuweza kumshauri chochote. Ndio maana nimemtakia heri
Kweli Aposto...
Humu kuamua kesi ni vigumu coz watu wanakuja na mazuri yao mabaya yao hawayasemi..
 
Piga chini haraka sana, i support you, wanaume tunapitia taabu sana na hakuna wa kutuonea hata nukta ya uchungu, piga chini haraka, na kama utachelewa nitasikitika sana
 
Back
Top Bottom