Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Naunga mkono hojaKuna jambo nimemwekeza alifanye vile mimi nataka Kwa kiburi kasema yeye hatofanya,pia kwenye maongezi yake nimesikia akisema nikimwacha Kuna mtu yupo anasubiri hiyo bahati Kwa hamu.
Pengine nafikiria nikiwa huru peke yangu nitafurahia maisha zaidi ijapokuwa nishamzalisha watoto ila naona Kwa huyu mwanamke siwezi kufanya milango yoyote ya maana Kwa kuwa naona tunatofautiana iq sana kiasi kuwa nilikuwa namvumilia hata akiniweka kwenye hasara.
Kimsingi sitaoa tena nitaishi maisha yangu lonely.
Housegirl huyoUkitaka kupata mwanamke anakuabali kila jambo bila kukujibishaaa...Oa mwanamke ambae hajasoma alafu umemzidi umriii
AahahaaaaaHata wewe kuna mademu kibao wanakusubiri kwa hamu. Piga chini hilo bwege
hamna tatizo lolote lile mkuu, uliza tuJamani pole sana mkuu, je haiwezekani mkaa myasolve na mkeo kuliko kuachana??? Btw kuna maswali huwa natamani sana kukuuliza mkuu
Uko sahihi kabisaNaomba niseme kitu,
Asilimia kubwa ya wanaomshaur mtoa mada apige chini
Ni singles, hawajawai ishi Kwny ndoa
Walio kwenye ndoa, Iwe ME au KE
situation Kama hizi sio ngeni kabisa kwa ndoa nyingi, hasa uku afrika changanyikeni[emoji4]
huo ndo ukweli tukiamua kusema ya nyuma ya pazia ila pia umri wa miaka 20-29 huwa una mambo sana yakujiona bado nalipa,[emoji2]kuna maneno mengine huyu jamaa awe mpuuziaji yatokayo kwa mwanamke otherwise ataoa sana.Mkeo na mimi tayari ni wake wawili tuliosema hayo maneno[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza kuta kila mke ameshawahi yasema hayo maneno kwenye ndoa yake. Truth be told.
Kuna jambo nimemwekeza alifanye vile mimi nataka Kwa kiburi kasema yeye hatofanya,pia kwenye maongezi yake nimesikia akisema nikimwacha Kuna mtu yupo anasubiri hiyo bahati Kwa hamu.
Pengine nafikiria nikiwa huru peke yangu nitafurahia maisha zaidi ijapokuwa nishamzalisha watoto ila naona Kwa huyu mwanamke siwezi kufanya milango yoyote ya maana Kwa kuwa naona tunatofautiana iq sana kiasi kuwa nilikuwa namvumilia hata akiniweka kwenye hasara.
Kimsingi sitaoa tena nitaishi maisha yangu lonely.