Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Kwani kupendwa lazima?!Huh!! Kwahiyo walikuvuruga ukavurugika mazima!! Hebu tulia upendwe kenge wewe sio unajifanya bandidu[emoji1787][emoji1787]
Haya sasa furushi lingine hili hapa!Hana hasira, anaongea uhalisia. Sio yeye tu! Wengi wanaojielewa huongea uhalisia, umeelewa mganga njaa?![emoji23][emoji23]
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Hahahahaha kwahio wa kulaumiwa ni Faridi ambaye kanunua iphone 13 pro max ili akina Feysal wachati na Mawardat bila kikwazo? Hii dhambi itawatafuna mpaka kiyama ndio maana nimekataa kuwa ng’ombe kwenye mahusiano!😂😂😂Hapo lazima Faridi atakuwa anapwaya kwenye nafasi yake ndio maana. Wa kulaumiwa ni Faridi, mbona sisi tunatulizana sana[emoji2369]
[emoji3] kuna sababu mke si kichaa, mbona wanaume huwa mnapata shida wake zenu wanavumilia hata mwaka na siri haitoki nje, yeye miezi 2 tu kelele?Ameshakiri kuwa mbunye hajapewa yapata mwezi wa 2 sasa anakula vikumbo tu[emoji28] na amelazwa rumande bila sababu za kueleweka
Njoo unipende basi mama karibu sana😅Huh!! Kwahiyo walikuvuruga ukavurugika mazima!! Hebu tulia upendwe kenge wewe sio unajifanya bandidu[emoji1787][emoji1787]
Ndio kukoswa akili huko.Sawa,,,
Swali langu::inakuwaje mwanaume ukashindwa kumdhibiti mkeo???
Miezi miwili ni sababu mume kafukuzwa kazi hela ya bata hakuna😅 mbona unakaza fuvu ndugu msomaji! Sasa jiulize bwana wako akikosa hela ya anasa ikabaki hela ya matumizi ya muhimu tu je una haki ya kumuanzishia kiburi na kuanza kutafta bahasha nje ya mahusiano yenu?[emoji3] kuna sababu mke si kichaa, mbona wanaume huwa mnapata shida wake zenu wanavumilia hata mwaka na siri haitoki nje, yeye miezi 2 tu kelele?
Huyu ni pressure ya maisha na ushauri wa ndugu zake ni unamsumbua mkuu lakini sio kwamba hanitaki ananitaka sana leo na kesho na mm nataka niwe mbali aonje joto la kunimiss anaweza kujigunza.
[emoji23][emoji23][emoji23]sasa tuseme huyu kaoa au??Hahahahahahha kwa muhuni kama mie mke kujaribu huo upuuzi hawezi kamwe sababu anaujua mziki wa Sony Xplod single channel!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahaha kwahio wa kulaumiwa ni Faridi ambaye kanunua iphone 13 pro max ili akina Feysal wachati na Mawardat bila kikwazo? Hii dhambi itawatafuna mpaka kiyama ndio maana nimekataa kuwa ng’ombe kwenye mahusiano![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vinalamba lamba midomo mwingine kidogo tu kanuna, lakini vibabu vinajua kubembeleza hivyo vina handle haswaa [emoji28]Acha tu tuvipende vibabu vyetu, hutu tu kina Extrovert ni ugonjwa wa korona[emoji1787][emoji1787]
Huyo nae hana lolote,anapigwagwa na mkewe[emoji23]Haya sasa furushi lingine hili hapa!
Jamaa ni Rookie 😅 hana uzoefu na mind games za wanawake zetu wa kibongo akina Mawardat. Mie kwangu unatulia fresh na huo ujinga huez fanya sababu lazma ntakuweka katika position yako.[emoji23][emoji23][emoji23]sasa tuseme huyu kaoa au??
Maana haiwezekani mkeo hakushinde utake kuikimbia nyumba!!!
Weee hapo yupo radhi akununulie ya gharama kuzidi yake ila usitumie yake haa haa haa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe shida kuchart basi msitununulie simu,tuwe tunatumia za kwenu
Hahahahahah mnafukuzia pensheni kijanja😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vinalamba lamba midomo mwingine kidogo tu kanuna, lakini vibabu vinajua kubembeleza hivyo vina handle haswaa [emoji28]
Wakizishika huwa wana viburi hatari, wanazitumia hukooo halafu wakiishiwa ndio wanajirudi eti tuwaheshimu!! Malipo ni here here[emoji1787][emoji1787]Issue sio kupenda swala Ni je unaempenda Yuko tayari kwenda na wewe kwenye hiyo safari?. Mi naona Cha msingi Ni kutumia akili kufanya maamuzi tusikubali kugalagazwa na moyo mpofu.
Ukiitumia akili kila kitu lazma utafanya kwa uangalifu, maana nyie nao mnapendwa mkiwa hamna pesa halafu mkizipata mnatu dump, Sasa hapa kila mtu apende maisha yake Ila tu tuwe na mahusiano yenye heshima, adabu, amani na utii hapo tutafika mbali.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tutumie simu moja jamani[emoji23]Weee hapo yupo radhi akununulie ya gharama kuzidi yake ila usitumie yake haa haa haa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Njoo unipende basi mama karibu sana[emoji28]
Hao ndiio wanawake mwanawane....wao ndalama ikisepa ujue hunathamini kwao tena. Pili next time acha uboya wakugegeda mbususu moja tuu. Unatkiwa kidume una michepuko angalau miwili ndio maisha yanaendaWakuu kiufupi nina mke na mtoto mmoja wa miezi 9 sasa. Tumekuwa tunaishi kwa kutegemeana kama mke na mme kwenye mambo mbalimbali. Nilibahatika vibaya kupoteza kazi baada ya kuwa mkataba wangu umeisha mwishoni kwa mwaka jana.
Tangu hapo mke wangu anaonyesha dharau waziwazi. Kiufupi ni dharau ambazo kiukweli chanzo chake ni kupungukiwa kipato japo nafanya bidii za biashara used naingiza pesa kiasi japo sio kama nilivokuwa napata salary. Mke wangu anabiashara yake nimemkuta nayo japo niliingiza pesa kama kutanua biashara iwe kubwa.
Cha kushangaza kafikia hatua hadi baadhi ya pesa nilizompa siku sio nyingi anakatalia ikabidi nimfate ofisini kwake ni chukue alivogoma nika force tukaharibu simu yake akaenda police kunichukulia RB kwamba nimemfanyia fujo japo hawakuja kunikamata na hii ni mara ya tatu kunishtaki kwa mambo ya kipuuzi mara zile mbili alinipeleka kwa mjumbe.
Sina amani na hataki tuachane mfano juzi nikamwambia ngoja nimwachie nyumba au nimtafutie room akae na mwanae mimi nikatafute pesa siku nikipata nitarudi amegoma na hapa tunapoishi kodi imeisha.
Sasa ninafikiria kumtoroka asijue nilikokwenda, najuwa hana hela ya kupanga chumba kwa sasa na hapa tulipo sasa nimesha mwambia mwenye nyumba naondoka. Yaani wakuu kuna madhira kibao hadi nafikiria na kuwaza mambo magumu sana.
Naandika lakini nahisi kama hamtanielewa maana ni mambo magumu sana. Sijawahi kumcheat mke wangu na sina demu mwingine lakini naishi nae ndani kama kaka na dada hata haitaji nimguse.
Ana kiburi kama chote jeuri imezidi hana hekima kabisa sometime hana aibu hata mbele za watu anaweza jibu hovyo tu.
NAMPENDA MWANANGU HIKO NDO KINANIUMA KUMUACHA LAKINI NAHISI NI KIFUNGO KIBAYA SANA KUENDELEA KUISHI NA HUYU MWANAMKE. NADHANI NIKIWA MBALI NAE ANAWEZA ONA UMUHIMU WANGU.
Nimechoka wakuu naomba mawazo uenu pia ikiwa utaguswakunishauri. Hatujafunga ndoa bado ni wachumba najulikana kwao na anajulikana kwetu.
Ahsanteni.
MPE maujanja mwenzio[emoji23]Jamaa ni Rookie [emoji28] hana uzoefu na mind games za wanawake zetu wa kibongo akina Mawardat. Mie kwangu unatulia fresh na huo ujinga huez fanya sababu lazma ntakuweka katika position yako.