Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Hata mie nashangaa inakuwaje mume ukamshindwa mkeo???

Yaani mkeo anakushinda???

Nini maana ya kuwa mwanaume/baba wa family??

Baba si ni nguzo/kichwa cha family inakuwaje uikimbie nyumba yako kisa mke???
Labda awe hajabanwa kisawa sawa na mkewe wanakimbia mbona [emoji3][emoji3]
 
Yani inauma sana iphone 12 pro max ulionunua wewe ukiomba demu akutumie picha zake hakutumii ila kuna ndezi ambaye hajui hata bei ya vocha anatumiwa nudes[emoji23]
Teh teh poleni sana! Ndiyo wanawake wenu mliopewa hao wavumilieni tu maana hamna namna mtafanyaje sasa?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha wakuvuruge vurugeee kwanza hadi akili akukae sawa ili utakapopedwa utambue kuwa unapendwa wewe kama wewe ila imetokea tu kuwa uko na pesa. Hapo utatuliza akili ili uenjoy mapenzi.
Hahahah ulipoingizia pesa umeharibu! Penda mtu asiye nacho ili tuone kweli upo serious sio unataka mwenye nazo tu halafu ndio ujitie umependa yeye kama yeye.

Kila demu anapenda bwana mwenye pesa sasa wasio na hela munawaachia akina nani?😅
 
Miezi miwili ni sababu mume kafukuzwa kazi hela ya bata hakuna[emoji28] mbona unakaza fuvu ndugu msomaji! Sasa jiulize bwana wako akikosa hela ya anasa ikabaki hela ya matumizi ya muhimu tu je una haki ya kumuanzishia kiburi na kuanza kutafta bahasha nje ya mahusiano yenu?
Inategemea wakati ako nazo alizitumia na nani? Kama na mimi basi asihofu, tutatulia na kupanga mpango mkakati vyedi kabisa na come back moja matata sana. Two are better than one. Ila kama ndio alikuwa kiburi na kujifanya mjuaji wa dunia basi asubirie dunia imfunze.
 
Inategemea wakati ako nazo alizitumia na nani? Kama na mimi basi asihofu, tutatulia na kupanga mpango mkakati vyedi kabisa na come back moja matata sana. Two are butter than one. Ila kama ndio alikuwa kiburi na kujifanya mjuaji wa dunia basi asubirie dunia imfunze.
Heheehe sasa kwa maelezo ya mtoa mada ni kwamba mke alikuwa priority ila baada ya mipunga kukata mke ameamua kumuona kama ng’ombe tu
 
Yani inauma sana iphone 12 pro max ulionunua wewe ukiomba demu akutumie picha zake hakutumii ila kuna ndezi ambaye hajui hata bei ya vocha anatumiwa nudes[emoji23]
Ndivyo ilivyo ,[emoji3] ila tuna waheshimu sana jamani wasiwasi wenu, tatizo tabia mzifanyazo mnajua na wake zenu ndiyo hivyo hivyo wivu juu
 
Jamaa ni Rookie [emoji28] hana uzoefu na mind games za wanawake zetu wa kibongo akina Mawardat. Mie kwangu unatulia fresh na huo ujinga huez fanya sababu lazma ntakuweka katika position yako.
Wacha bwana!! Sasa kumbe mambo rahisi tu, mnakwama wapi[emoji2369]
 
Back
Top Bottom