Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Labda awe hajabanwa kisawa sawa na mkewe wanakimbia mbona [emoji3][emoji3]Hata mie nashangaa inakuwaje mume ukamshindwa mkeo???
Yaani mkeo anakushinda???
Nini maana ya kuwa mwanaume/baba wa family??
Baba si ni nguzo/kichwa cha family inakuwaje uikimbie nyumba yako kisa mke???