Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajiuliza hiki nacho nini ila kwa jicho la karibu mzee anamiliki Hotel Sinza😅 na Scania 50 kurasini 😅 bila kusahau ghorofa mbezi beach!

Unaamua kujiongeza tu kuwa kwa namna yeyote huyu binti lazima ni mlengaji tu. Hawaogopi hata kama mstaafu anaishi kwa mbolea za ARV
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie nina mapenzi ya dhati hadi najiogopa, huyu hanifai maana washamvuruga akili. Inabidi awe na viruka njia wenzie[emoji1787]
Kuna mke na mwanamke[emoji23],lazima ajue[emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie nina mapenzi ya dhati hadi najiogopa, huyu hanifai maana washamvuruga akili. Inabidi awe na viruka njia wenzie[emoji1787]
Mie pia nina mapenzi ya dhati sema we ndio muoga tu njoo uonje ladha😅
 
Picha litaanza na bed rest kwanza, halafu ikifika miezi 7 unaambiwa hapa inabidi mchague moja either mama au mtoto[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Hahahahahah hamna bana😅 toto lazma litoke na afya nene ya mwili na akili!
 
Umeona eee kuna mmoja alikuwa akilalamika ana ambiwa si unakula akimwambia na mie nilizaliwa anamwambia kaka zako wapo mie sijaoa ukoo piga picha huyo Baba afurie halafu mke genge lake limewin kibano chake mwanaume lazima aisome namba
Ndio maana nimesema ukijijua kisirani jitahidi zisiishe. Lasivyo utafurahishwa tu.
 
Sasa wewe akili ushaivuruga kuwa hatuna genuine love unategemea hata ukipendwa utaona? Utaona unaigiziwa tu uliwe pesa zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahah kanuni ya kwanza pesa hamna! Endurance utaweza huwa sianzagi na pesa mbele
 
Hapa una option 2,

1. Uendelee kua bwege ili usimpoteze mkeo

2. Utambue value yako, uchukue maamuzi ya
ya kiume uendelee na life lako.
There is always a message on how people treat
you, jiongeze uone mkeo anakupa message gani
Ukipata jibu uchague either uwe bwege or a
MAN
 
Unajiuliza hiki nacho nini ila kwa jicho la karibu mzee anamiliki Hotel Sinza[emoji28] na Scania 50 kurasini [emoji28] bila kusahau ghorofa mbezi beach!

Unaamua kujiongeza tu kuwa kwa namna yeyote huyu binti lazima ni mlengaji tu. Hawaogopi hata kama mstaafu anaishi kwa mbolea za ARV
Pesa,pesa,pesa[emoji23]
 
Sasa wastaafu mnataka wapendwe na nani[emoji2369][emoji2369] hebu acheni wivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani unaniheshimu mbunye hutoi nikitaka ila unampa Ediga Mtolela ajipimie huku mie mtoa huduma unanikazia. [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] kuku wako unashindwa kumpa mchele mpaka utafute manati kweli, nami nataka kubembelezwa, unazurura huko usiku mwingi ndiyo unaingia nyumbani haa hamu yote kwisha sasa hapo nilaumiwe mke hapana
 
Back
Top Bottom