mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anaelewa mziki sema anaruka ruka kama mahindi ya popcorn[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anaelewa mziki sema anaruka ruka kama mahindi ya popcorn[emoji28]
Thubutu [emoji847][emoji847][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tutumie simu moja jamani[emoji23]
Unajiuliza hiki nacho nini ila kwa jicho la karibu mzee anamiliki Hotel Sinza😅 na Scania 50 kurasini 😅 bila kusahau ghorofa mbezi beach![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo ndio gape zuri sasa[emoji1787]Trend imekuwa balaa sahizi wadada wa mjini utaskia binti ana miaka 27 wakati mstaafu awamu ya mkapa ana miaka 75
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anaelewa mziki sema anaruka ruka kama mahindi ya popcorn[emoji28]
Kuna mke na mwanamke[emoji23],lazima ajue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie nina mapenzi ya dhati hadi najiogopa, huyu hanifai maana washamvuruga akili. Inabidi awe na viruka njia wenzie[emoji1787]
Hapo watoto washaajiriwa na wana familia zao mzee anaamua kuvuta binti wa umri sawa na last borne wake wa kwenda kumkanda😅Hilo ndio gape zuri sasa[emoji1787]
Mie pia nina mapenzi ya dhati sema we ndio muoga tu njoo uonje ladha😅[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie nina mapenzi ya dhati hadi najiogopa, huyu hanifai maana washamvuruga akili. Inabidi awe na viruka njia wenzie[emoji1787]
Picha litaanza na bed rest kwanza, halafu ikifika miezi 7 unaambiwa hapa inabidi mchague moja either mama au mtoto[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Mimba sio korofi kabisa mbona[emoji28]
Ooooh kumbe mpalestina!! Hawajawahi kuniangusha hao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanamke mpalestina tabia zao zinaeleweka[emoji28]
Hahahahahah hamna bana😅 toto lazma litoke na afya nene ya mwili na akili!Picha litaanza na bed rest kwanza, halafu ikifika miezi 7 unaambiwa hapa inabidi mchague moja either mama au mtoto[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Ndio maana nimesema ukijijua kisirani jitahidi zisiishe. Lasivyo utafurahishwa tu.Umeona eee kuna mmoja alikuwa akilalamika ana ambiwa si unakula akimwambia na mie nilizaliwa anamwambia kaka zako wapo mie sijaoa ukoo piga picha huyo Baba afurie halafu mke genge lake limewin kibano chake mwanaume lazima aisome namba
Hahahahah kanuni ya kwanza pesa hamna! Endurance utaweza huwa sianzagi na pesa mbeleSasa wewe akili ushaivuruga kuwa hatuna genuine love unategemea hata ukipendwa utaona? Utaona unaigiziwa tu uliwe pesa zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pesa,pesa,pesa[emoji23]Unajiuliza hiki nacho nini ila kwa jicho la karibu mzee anamiliki Hotel Sinza[emoji28] na Scania 50 kurasini [emoji28] bila kusahau ghorofa mbezi beach!
Unaamua kujiongeza tu kuwa kwa namna yeyote huyu binti lazima ni mlengaji tu. Hawaogopi hata kama mstaafu anaishi kwa mbolea za ARV
Sasa wastaafu mnataka wapendwe na nani[emoji2369][emoji2369] hebu acheni wivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unajiuliza hiki nacho nini ila kwa jicho la karibu mzee anamiliki Hotel Sinza[emoji28] na Scania 50 kurasini [emoji28] bila kusahau ghorofa mbezi beach!
Unaamua kujiongeza tu kuwa kwa namna yeyote huyu binti lazima ni mlengaji tu. Hawaogopi hata kama mstaafu anaishi kwa mbolea za ARV
Hakika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mke na mwanamke[emoji23],lazima ajue[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] kuku wako unashindwa kumpa mchele mpaka utafute manati kweli, nami nataka kubembelezwa, unazurura huko usiku mwingi ndiyo unaingia nyumbani haa hamu yote kwisha sasa hapo nilaumiwe mke hapanaYani unaniheshimu mbunye hutoi nikitaka ila unampa Ediga Mtolela ajipimie huku mie mtoa huduma unanikazia. [emoji28]
Njaaa zitawapeleka pabaya sana aiseePesa,pesa,pesa[emoji23]