Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sasa we umenuna bila mpangilio kama furushi la nguo chafu😅 nani ana muda wa kuanza kubembelezana muda wa kulala ukifika. Tanua nikurenge[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ni ubakaji na ni kosa kisheria. Tukiwapeleka polisi mseme hatuna huruma wakati mmeyataka wenyewe!! Tatua kwanza huko kununa then mengine yanajipa tu mbona!