mwemweremwemwere
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 605
- 677
Una miaka mingapi kwanza mdogo wangu???Tupo town hapa lakini cha ajabu demu anaishi kama tupo itilima. Demu hajui kabisa kuishi kwa bajeti na wala haelekezeki. Tupo wawili tu mimi na yeye lakini cha ajabu ile kilo ya nyama ya ng'ombe inaisha kwa kutwa moja! Wakuu hii ni kawaida kweli? Tayari nimefikiria kuchukua maamuzi magum. Ushauri wenu tafadhali.
Amrudishe kwao hapo Itilima, nipo Meatu nitapitia hapo kesho kutwa wakati narudi zangu TanganyikaMahusiano yamekuwa rahisi sana siku hizi,watu hawana kuvumiliana,ndio sababu ndoa nyingi zinakufa kijinga. Jambo rahisi namna hiyo la kuzungumza ndio unataka kumrudisha mtu kwao?
Huyo kilo ya nyama inaishaje, anamwaga inayobaki au mnaila wote kwa siku moja?Tupo town hapa lakini cha ajabu demu anaishi kama tupo itilima. Demu hajui kabisa kuishi kwa bajeti...
π π π π πanamwaga inayobaki
Tupo town hapa lakini cha ajabu demu anaishi kama tupo itilima. Demu hajui kabisa kuishi kwa bajeti na wala haelekezeki. Tupo wawili tu mimi na yeye lakini cha ajabu ile kilo ya nyama ya ng'ombe inaisha kwa kutwa moja! Wakuu hii ni kawaida kweli? Tayari nimefikiria kuchukua maamuzi magum. Ushauri wenu tafadhali.
Watu wanaona kuzungumza na mtu ni kugumu....kuliko kuachanaMahusiano yamekuwa rahisi sana siku hizi,watu hawana kuvumiliana,ndio sababu ndoa nyingi zinakufa kijinga. Jambo rahisi namna hiyo la kuzungumza ndio unataka kumrudisha mtu kwao?
Poor communication skills is a disease nowdaysWatu wanaona kuzungumza na mtu ni kugumu....kuliko kuachana
Acha tabia za kimaskini. As long as mwanamke sio Malaya, anakuheshimu na anawaheshimu wazazi wako, Ni msafi. What more do you want? Unataka kilo ya nyama muile siku mbili? Wakati ukienda bar unaagiza kitimoto kilo moja na beer juu?Tupo town hapa lakini cha ajabu demu anaishi kama tupo itilima. Demu hajui kabisa kuishi kwa bajeti na wala haelekezeki. Tupo wawili tu mimi na yeye lakini cha ajabu ile kilo ya nyama ya ng'ombe inaisha kwa kutwa moja! Wakuu hii ni kawaida kweli? Tayari nimefikiria kuchukua maamuzi magum. Ushauri wenu tafadhali.