Nafikiria kumpiga chini huyu Mwanamke, hajui kuishi kwa bajeti

Nafikiria kumpiga chini huyu Mwanamke, hajui kuishi kwa bajeti

Watu wanaona kuzungumza na mtu ni kugumu....kuliko kuachana
Hiyo ni typical symptom ya broken heart,mtu keshavunjika moyo mara nyingi kiasi kwamba kuachana kwake ni jambo la kugusa tu. Mtu kama huyu ndio afunge "pingu za maisha" kweli?
 
Ul
Tupo town hapa lakini cha ajabu anaishi kama tupo Itilima, hajui kabisa kuishi kwa bajeti na wala haelekezeki.

Tupo wawili tu mimi na yeye lakini cha ajabu ile kilo ya nyama ya ng'ombe inaisha kwa kutwa moja!

Wakuu hii ni kawaida kweli? Tayari nimefikiria kuchukua maamuzi magumu

Ushauri wenu tafadhali.
Ulirithi kwa nani tabia yako ya uchoyo?
 
kama asubuhi mkapikaa kasupuu..mchana karost...usiku karost sasaa inaachaje kuisha 😀 😀 😀 😀 na wewe ndo unaongoza kula finyango
 
Wewe mwenyewe nunua nyama kilo moja, nenda nyumbani igawe mara 4 halafu Mwambie awe anapika robo kilo kwa mlo mmoja.
Vitu vingine ni vya kijinga sana kuomba ushauri unajiabisha.
umaskinii mkuu..! kingine ubinafsiii japoo huyo mwanamke nae kiloo ya ngombe kwa siku moja ni nyingi sana ingekuwa KITIMOTOO nisingemlaumuu..
 
Back
Top Bottom