Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

Bos ap nikushaur uongee nae inawez ikaw humfikish kunako na inabd uanz kumwandaa kisaikolojia tokea at mchan inawez ikaw kun kit ulimfanyia akaamua kukufanyia ivo
 
Fanya utafiti wa kina , kama hana njemba anaemshughulikia huko nje , ongea nae kwa busara atakuelewa . Labda anapata maumivu ambayo yana tiba .

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Yani mwanamke ambaye humtii aje kusema ana mimba? Afungashe virago vyake mapema sana
 
Utamaliza pesa na honeymoon zisizo na mwisho! Mwanamke kama hana mpango na wewe kimapenzi sahau hilo! Atafake tu ila atlast lazma ataona kero

Matatizo kisayansi ni hormonal imbalance, la pili psychological effects za mazoea! Inafikia mahali wanachukuliaga poa which is a very bad thing you can do to your partner na always ni endapo mke ataanza kuonja onjwa nje huko!
 
Tulikwambiaga ni suala la muda ukajifanya unampenda sana mkeo, Nyege hazinaga Mbabe chief...Haya sogea kwa mwenyekiti hapo akusainie kadi ya uwanachama wa mabaharia [emoji74]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchepuko tafuta tu
 
Yes

Wanawake wengi tuko hivo, mi mwenyewe napenda tukifanya leo, tusubirie mpaka at least week mbili ndo tunado

Ya kila siku inatia kichefuchefu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Nakusikitikia sana!
 
Jisikitie mwenyewe mkuu
 
Dunia ya leo kama mwanandoa hujaridhika sema. Sasa nifikirie hela then nifikirie why hufurahii tendo la ndoa. Sema mume wangu huniandai vizuri au unamaliza mapema au chochote kile ili Iwe rahisi kurekebisha mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…