Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

Bora wewe una wiki mwezi haujapewe, wengine tunachezea mwaka Sasa na miezi kisa mtoto!

Ndoa Ni nzuri Sana!
Mwaka.... Niliwahi kummuuliza dokta baada ya mke wangu kujifungua kwamba tuingiliane baada ya mda gani.
Dokta akanambia siku 45 tu tunaruhusiwa kuendelea kubanjuana.
Ila pia niliambiwa mwanamke akishazaa hamu ya kufanyana inapungua. Na madawa ya kuzuia mimba yanampunguzia ashki.
 
Point
 
Hata mimi nafikiria kumbaka lakini naona utakuwa uzwazwa
 
Juzi kulikua na mwanamke anacomplain yeye ndo ana-initiate sex kwenye ndoa yake mumewe anaweza kata hata mwezi, kajaribu kumchunguza kaambulia patupu hamna dalili ya mchepuko-haelewi tatizo nini... leo humu ni baba ndo analalamika mwe[emoji3166][emoji3166][emoji3166]
 
Hilo ni tatizo la wanawake wa siku hizi hawana stamina kwenye hayo mambo.Usiombe ukutane na mchaga ndiyo kabisa utajuta wavivu sana na hawana ubavu wa kuhimili kazi kazi hata wale wakongwe na wazoefu hamna kitu siku hizi,wengine wako tayari kutafuta wa kuwasaidia
 
Wanasema busara ni kushea maarifa. Ngoja tukupe uzoefu wa haya mambo kijana. Embu tafuta kimwana mzuri anayejua mambo huko nje.

Kabla hujarudi hom hakikisha unaanzia kwa kimwana ukiwa uko we toooooo.mba uwezavyo yani akikisha unakamua kila kitu ndo urudi hom taratibu kwa miluzi na mikono mfukoni. Fanya hivi kwa miezi 2 hadi 3 hivi hlf tuletee mrejesho hapa.
 
Wewe umefunguka ila wengi wanaumia kimoyomoyo, kila siku unaambiwa kachoka, ninahisi kuna wanaomchosha. Naunga mkono "nyumba ndogo ni muhimu" Hii dini ya Kikristu hili wazo la mke mmoja wamelitoa wapi? Waislamu nawapa 5 ya nguvu kwa kuliona hio. Mke mmoja hatoshi hata kama unasumbuliwa na "ubamia".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitoe ufahamu mpotezee kabisa hata miezi sita usingaike nae
 
Huyo mkeo hakupendi na Hana hisia na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…