Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

Siku ukioa utaelewa..
 
Kweli mkuu wengi wakishaweka Njia za uzazi wa mpango Hormone zinaanza kuzinguaa.. Yani hata genye zinapunguaa pia Mbususu inakuwa kavu balaa.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Mzee swala la michepuko sio la kutafuta huruma za watu ili ulitekeleze .

Wanaume tujifunze kujipenda kwanza sisi ....acheni kuwa watumwa wa kifikra na kuendeshwa na wanawake.

Mwanaume simamia furaha yako ilipo. Haya mambo ya kutangulia kufa kabla ya wanawake ni uboya.

Haiwezekani eti kisa mwanamke hapendi kwa sababu zake au ujinga wake binafsi eti na wewe inakuumiza na kuanza kujiliza Liza.

Mwanaume andaa mtoko alike mke hataki piga chini tafuta papuchi nyingine ya kula nayo Bata huko uendako.

Mwanamke hataki kupika rudi umevimbiwa unabeua tu harufu za minofu na stick mdomoni .

Mwanamke hataki gemu poa wewe ji rudie home tu ushajichakatia kipochi Cha mtu huko vibao vya kutosha ukifika home vuta shuka lala usiwasumbue watu wana mambo mengi wanafikiri[emoji1787][emoji1787]

Mwanaume ishi maisha yako

Sent from my TECNO F2LTE using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuu wengi wakishaweka Njia za uzazi wa mpango Hormone zinaanza kuzinguaa.. Yani hata genye zinapunguaa pia Mbususu inakuwa kavu balaa.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Uzazi wa mpango hasa sindano, vidonge na njiti zinakata kabisa genye mwanamke anaweza gonga hata mwaka asihisi genye
 
usher Smith Shemegi yetu anafanya kazi wapii ,ktk jambo moja linalovunja sex ni machofu ukiwa umechoka hicho kitu kinakutoa nishai sana huna hamu nacho sana so mapunziko ni muhimu ,kwenda kupiga nje hilo ni tatizo jipya unalilianzisha na litakukost kama una uwezo bora uoe halali kuliko kutafuta maradhi na ukiingia huko hutoki tena .
 
Wiki unalalamika. Mm nina mwaka sijamgusa japo alikuwa na mimba ndo katoto kana 6 month. Nje nina mimba inakaribia miezi tisa kasoro mmoja

Na ndo dawa yao hawa viumbe
 
[emoji3516]
WAKUU!!!

TUONGEE NA MAZA ILI HUYU JAMAA APEWE UKATIBU MKUU WA WIZARA MPYA,
"WIZARA YA MICHONGO YA WANAUME".

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Yes

Wanawake wengi tuko hivo, mi mwenyewe napenda tukifanya leo, tusubirie mpaka at least week mbili ndo tunado

Ya kila siku inatia kichefuchefu
Unaonaje nikikuolea mke mdogo
 
Hii pia ni kweli, vizawadi vinaleta stimu sana

Kingine sio kila siku kusex home tu, siku nyingine unafanya vacation, hotel at least hayachoshi

Women are full of suprises
Matumizi hayo. And sometimes tumia hela yako mnatoka kwenda sex tour
 
Kabla haujarudi nyumban jaribu kumchombeza kwa maneno matamu ya kumtia nyege, ukirudi lamza ule mzgo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…