baiser
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,480
- 2,239
Wanawake wengi wakishaolewa ndo wanakuwa hivyo,sio mkeo tu hata wake zetu wanataka mfanye Mara moja kwa wiki au wiki mbilii
Tena akipata mimba sahau kuhusu sex ataleta visingizio kibao sababu mimba inanyima hisia
MCHEPUKO ni muhimu sana kwa mwanaume rijali na anayejitambua bila hivyo mtaishia kugombana sana na mkeo .
Muhimu tafuta mchepuko anayejua umeoa na anayekuheshimu na una mmudu kwa kila jambo ili asikupelekeshe .