Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

Wanawake wengi wakishaolewa ndo wanakuwa hivyo,sio mkeo tu hata wake zetu wanataka mfanye Mara moja kwa wiki au wiki mbilii

Tena akipata mimba sahau kuhusu sex ataleta visingizio kibao sababu mimba inanyima hisia

MCHEPUKO ni muhimu sana kwa mwanaume rijali na anayejitambua bila hivyo mtaishia kugombana sana na mkeo .

Muhimu tafuta mchepuko anayejua umeoa na anayekuheshimu na una mmudu kwa kila jambo ili asikupelekeshe .
 
Nikitoa hela angu nyege zinakata asee, sijui kwanini[emoji848]
Same applies to men, kodi ya nyumba, ada za watoto, madeni ya bank, mavazi ya watoto, wakwe, baba na mama, dugu wa pande zote mbili kuwahudumia. Unadhani mwanaume anapata wapi utulivu kama mwanamke naye anataka mtoke kwenda kusex hotelini
 
Kaa na mke wako mzungumze pengine kuna shida and she is afraid to open up, mahusiano yenu ya kawaida nje ya kitanda yapoje?
 
Ngono ni ngono tu.
Hiyo ya tendo la ndoa ni neno lilopambizwa lionekane km lina maana sana kumbe hakuna lolote.
Tuchukue vyumba viwili tuweke watu walioana na ambao hawajaoana.
Waanze kufanya mapenzi. Hapo utaambie hivyo vitendo vinatofautiana? Ni sawa na maji ya kisimani na ya bombani. Yote ni maji
 

Mkuu habari ya pasaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…