Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

Kaa na mke wako mzungumze pengine kuna shida and she is afraid to open up, mahusiano yenu ya kawaida nje ya kitanda yapoje?
Very happy and friendly, ila ikifika saa 3 usiku ndio namsikia akisema , " baby nimechoka na kichwa kinauma" huyoo anaenda kitandani, hapo najua basi tena
 
Kama hatojali nimuunganishe na Zaina wa Charambe. Mtoto anato.mbana mpk unaona usiku mfupi hachoki na akunyimi ni full mauno ya uzazi mpk uombe poo mwenyewe. Me nilikimbia shoo, ya nini nifie kiunoni
Haina upambe mpe namba 😹😹😹
 
Ndoa sio sehemu ya uhakika wa kupata se.x muda wowote unaoitaji, bali ni muunganiko wa kuonyesha tu ustaarabu; Ukitaka kupata uhakika wa tendo muda wowote unaouitaji, inakubidi uwe na michepuko...ili huyu akiwa hayuko tayari, unaji-'tune' kwa mwingine aliyetayari. Mwanaume ni tofauti na wao, muda wowote 'me' huitaji tendo, lakini si muda wowote 'ke' anaitaji tendo
 
Mi nafikiri mwanamke ana vipindi vayke vya kuenjoy sex sio kila siku. Bila kutumia madawa wala vipipi yaani automaticall tu unakuea very high mwanamke. Na kuna kipindi unamkuwa huna mzuka hata, unafanya kumridhisha mume tu bora liende. Hapo ndo wengine hawawezi wanaona mateso, ila wengine wanaweza kusex huku hawajisikii.
 
Pia kuna baadhi ya wanaume ni kero unakuta mwanamke umeenda kulala, ye atakaa sebuleni anaingia kulala anakuta mke yuko fofofo anakuamsha anataka sex kwa kweli hapo ni msalaba. Hata km nilikuwa na hamu ishapote usingizini halafu uje kusema mke wangu hapendi kusex kumbe ni timing tu. Mwanamke mapenzi ni hisia. Nyie hamna shida ikisimama tu basi.
 
Same applies to men, kodi ya nyumba, ada za watoto, madeni ya bank, mavazi ya watoto, wakwe, baba na mama, dugu wa pande zote mbili kuwahudumia. Unadhani mwanaume anapata wapi utulivu kama mwanamke naye anataka mtoke kwenda kusex hotelini
Hilo ni jukumu lenu liko kwenye bible...so pambana uke mema ya nchi[emoji16][emoji16]
 
Afu kuna watu wanakwambia eti usije ukaoa kwasababu ya nyege zako!
Shaabash nyege kama itifaki lazima zizingatiwe kwenye ndoa.
Lazima partner wako mlingane hayo ma sex drive, kama wewe chizi sex na yeye akuwe hivyo hivyo.
 
Brother umepata haujapata? Nahangaika sana kutuma pm bila mafanikio...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…