Wana jamvi salaam,
Naona huyu shemeji yenu majukumu ya chumbani yamemshinda, kwa wiki tendo mara 1 au 2 au 3 hapo kajitahidi (tena kila wakati mimi ndio nakumbushia, yeye wala) , siku nyingine inapita wiki 1 hadi siku kumi.
Ukiishi na mke ndani ndio utaelewa kwanini Waisilamu waliambiwa wake 4 ruksa, hapa ningekuwa na mke wa 2 , nisingekuwa naangalia dari juu usiku huu .
Tena hapa hatuna mtoto hivi je akizaliwa katoto si nitapigwa benchi mazima.
Nilikuwa nawashangaa wanaume wanaochepuka , ila leo naelewa kuwa sometimes wake zao ni moja ya sababu.
Huwa najitahidi kuepuka vishawishi nje ya ndoa ila sasa naona soon yatanishinda.
Real Confession :
Kwa wiki 3 sasa nimemkumbuka my ex girlfriend aisee hadi namuota kila siku , it has been 6 years toka tuachane ila nikiri tulikuwa na « a very good chemistry together on bed »