Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

Mkuu kaa ongea nae kuwa inakukera sana hio kitu...

Huenda anachoka kweli au unaibiwa au aliona makando kando yako akavunga so hisia zimeenda na maji....

InFact zungumza nae,, asipojirekebisha ongea nae tena... Akizingua napo ongea nae mara ya mwisho..

Baada ya hapo angalia target nyingine then kwa muda wako endelea kulenga.....

Thank me later.. Mapenzi uFalla sana sometimes
 
Ongea naye akwambie sababu,inawezekana unajiridhisha peke yako tu yeye unamwasha anashangaa dali.......ukimaliza unalala......toku tu haa frendilii mkuu, usikurupuke tu
[emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].. you made my easter, LoL [emoji28] (toku tu haa......)

Sent from my Redmi 5 using JamiiForums mobile app
 
Mkeo anafanya kazi gani?
usher Smith Shemegi yetu anafanya kazi wapii ,ktk jambo moja linalovunja sex ni machofu ukiwa umechoka hicho kitu kinakutoa nishai sana huna hamu nacho sana so mapunziko ni muhimu ,kwenda kupiga nje hilo ni tatizo jipya unalilianzisha na litakukost kama una uwezo bora uoe halali kuliko kutafuta maradhi na ukiingia huko hutoki tena .



Mwalimu wenye ratiba ngumu kweli , private boarding school
 
Back
Top Bottom