Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

Ukiambiwa heshimu ndoa yako mwanaume haimaanishi usipige mechi za nje, piga kwa uangalifu wife asijue.
Wanawake ni viumbe tata sana, ni bora ufanye abavyotaka yeye huku wew ukiwa na suluhu isio na madhara.

NB: Usiache kumpenda mkeo, huyo ni chaguo lako.
Kuna watu wanauza info tena ndg zako
 
Wana jamvi salaam,

Naona huyu shemeji yenu majukumu ya chumbani yamemshinda, kwa wiki tendo mara 1 au 2 au 3 hapo kajitahidi (tena kila wakati mimi ndio nakumbushia, yeye wala), siku nyingine inapita wiki 1 hadi siku kumi.

Ukiishi na mke ndani ndio utaelewa kwanini Waisilamu waliambiwa wake 4 ruksa, hapa ningekuwa na mke wa 2, nisingekuwa naangalia dari juu usiku huu.

Tena hapa hatuna mtoto hivi je akizaliwa katoto si nitapigwa benchi mazima.

Nilikuwa nawashangaa wanaume wanaochepuka, ila leo naelewa kuwa sometimes wake zao ni moja ya sababu.

Huwa najitahidi kuepuka vishawishi nje ya ndoa ila sasa naona soon yatanishinda.

Real Confession :
Kwa wiki 3 sasa nimemkumbuka my ex girlfriend aisee hadi namuota kila siku , it has been 6 years toka tuachane ila nikiri tulikuwa na « a very good chemistry together on bed »
Hiyo Chemistry ilikuwepo sababu ulikuwa hujamuoa na kuishi nae ndani kwa muda mrefu trust me kama mngeoana ingekuwa story ileile. Muhimu kaa chini na mwenzako muongee tatizo liko wapi mtatue muendelee kufurahia ndoa yenu. Tatizo letu kubwa we dont talk.
 
inawezekana wana muda kwenye ndoa na hawapati mtoto, mwanamke anapoteza sana hamu ya tendo kwa kesi kama hizi

Mmmhhh sidhani kama kuna ukweli ,navyojua kama mwanamke anatafuta mtoto basi huwa anakupa mara kwa mara ili aweze kushika ujauzito.
 
Hii pia ni kweli, vizawadi vinaleta stimu sana

Kingine sio kila siku kusex home tu, siku nyingine unafanya vacation, hotel at least hayachoshi

Women are full of suprises
Kwa staili hii kuchepuka lazima.
 
Wana jamvi salaam,

Naona huyu shemeji yenu majukumu ya chumbani yamemshinda, kwa wiki tendo mara 1 au 2 au 3 hapo kajitahidi (tena kila wakati mimi ndio nakumbushia, yeye wala), siku nyingine inapita wiki 1 hadi siku kumi.

Ukiishi na mke ndani ndio utaelewa kwanini Waisilamu waliambiwa wake 4 ruksa, hapa ningekuwa na mke wa 2, nisingekuwa naangalia dari juu usiku huu.

Tena hapa hatuna mtoto hivi je akizaliwa katoto si nitapigwa benchi mazima.

Nilikuwa nawashangaa wanaume wanaochepuka, ila leo naelewa kuwa sometimes wake zao ni moja ya sababu.

Huwa najitahidi kuepuka vishawishi nje ya ndoa ila sasa naona soon yatanishinda.

Real Confession :
Kwa wiki 3 sasa nimemkumbuka my ex girlfriend aisee hadi namuota kila siku , it has been 6 years toka tuachane ila nikiri tulikuwa na « a very good chemistry together on bed »
Hapa kuna tatizo la Kisayansi au kisaikolojia.Nakutahadharisha pia kuwa makini na aina ya ushauri utakaotolewa hapa.

Muulize kwa upole sana kwamba inaonekana amepoteza hamu ya tendo.Pili sugest kama inawezekana kwenda kumuona doctor.Ila uwe tayari kisaikolojia kupokea maelezo/majibu yake.

Alternatively badilisheni eneo,labda mtoke out for some few days.

Hili tatizo hutokea na mara nyingi huambatana na sababu hizo mbili kisaikolojia au kisayansi.

Mwisho sikushauri ukimbie tatizo kwa kuchepuka,hiyo option ni hatari zaidi kwako.

Wewe huoni maisha yako yalivyo matamu pale unapoishi bila usumbufu wa michepuko. isipokuwa hilo la kupata tendo la ndoa.ambalo linatatulika.ikiwa ni tatizo ambolo limejitokeza hiv karibuni
 
Wa mama ndivyo walivyo mkuu, hamu ya tendo la ndoa upungua kadiri mnavyoendelea kuishi pamoja, ukidadisi haswa sababu Ni nin upati jibu la uhakika. Ndugu yangu usijipe stress, kitaa wapo wa kumwaga kwa nini genye zikusumbue? Fanya faster mkuu, maisha yenyewe mafupi haya.
 
Kama hatojali nimuunganishe na Zaina wa Charambe. Mtoto anato.mbana mpk unaona usiku mfupi hachoki na akunyimi ni full mauno ya uzazi mpk uombe poo mwenyewe. Me nilikimbia shoo, ya nini nifie kiunoni
tuandamane basi turudishwe kule chini....yaani nakosa utelezi booster imefungiwa
 
Back
Top Bottom