Nafsi inatamani lakini mwili unanikataa, wenye miaka 33 ama zaidi mnaenda raundi tatu bila kujilazimisha?

Nafsi inatamani lakini mwili unanikataa, wenye miaka 33 ama zaidi mnaenda raundi tatu bila kujilazimisha?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Kama ambavyo mtu utaanza kugundua umekuwa mkubwa pale unapoanza kusalimiwa na vijana wadogo basi ndivyo utavyojigundua kwa mabadiliko ya uwezo wako kwenye shoo.

Hali sio tena kama niliyoizoea, kwa sasa goli la kwanza lori lipo mteremkoni, goli la pili lori lipo tambarare lakini goli la tatu lori linapanda mlima.

Mwisho wa mlima nafika ila nachoma sana mafuta natumia nguvu sana na muda pekee na enjoy ni dakika 2 za mwishoni napokaribia kumaliza, baada ya hapo nipo nyanganyanga na kuhusu goli la nne silijui kabisa imebaki historia.

Wale wenye 33 na kuendelea, hali ni vipi?
 
Ukifika 45 kuendelea unaanza kuhesabu sekunde mkuu Ukifikisha sec 30 mashine haijalala unajipongeza,Sasa sijui ikifika 60 huko itakuwaje,plus ndio mazonge kama yote yanajitokeza wakati huo ikiwemo tezi dume
Mimi nina 40+ ila bila goli 3 sijakuelewa lasivyo nitakuomba mechi kama sio siku hiyo basi baadae kesho yake.
Ni afya na lishe nzuri.

Ila tu simu ikiita kila kitu huwakinahatibikaso ili nimalize bizuri huwa nazima kabisa simu mpaka 45minutes ndo nawasha
 
Ukifika 45 kuendelea unaanza kuhesabu sekunde mkuu Ukifikisha sec 30 mashine haijalala unajipongeza,Sasa sijui ikifika 60 huko itakuwaje,plus ndio mazonge kama yote yanajitokeza wakati huo ikiwemo tezi dume
Huko 45 ndio maana nchi zilizoendelea zimeruhusu viagra, daktari anakupima kisha anakupa dozi, sio kama huku kwetu mtu anajipimia vijiko vya vumbi la kongo, matukio ya wazee kufia gesti yameongezeka
 
Inashababishwa na tezi dume, kitaalam zaid sijui inasababishwa na nini
20230825_232647.jpg
 
Back
Top Bottom