sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Mimi nina 40+ ila bila goli 3 sijakuelewa lasivyo nitakuomba mechi kama sio siku hiyo basi baadae kesho yake.Ukifika 45 kuendelea unaanza kuhesabu sekunde mkuu Ukifikisha sec 30 mashine haijalala unajipongeza,Sasa sijui ikifika 60 huko itakuwaje,plus ndio mazonge kama yote yanajitokeza wakati huo ikiwemo tezi dume
Huko 45 ndio maana nchi zilizoendelea zimeruhusu viagra, daktari anakupima kisha anakupa dozi, sio kama huku kwetu mtu anajipimia vijiko vya vumbi la kongo, matukio ya wazee kufia gesti yameongezekaUkifika 45 kuendelea unaanza kuhesabu sekunde mkuu Ukifikisha sec 30 mashine haijalala unajipongeza,Sasa sijui ikifika 60 huko itakuwaje,plus ndio mazonge kama yote yanajitokeza wakati huo ikiwemo tezi dume
Inashababishwa na tezi dume, kitaalam zaid sijui inasababishwa na niniHivi tezi dume inasababishwa na nini ???
Inashababishwa na tezi dume, kitaalam zaid sijui inasababishwa na nini
Nime cheka mpaka kulia yaaaani dahInashababishwa na tezi dume, kitaalam zaid sijui inasababishwa na nini
Wewe umri huo 17-23 hapo damu inachemka hatari 24-27 hapo wanapigwa sana mimba mabinti sababu zinakua zipo on 🔥 na wengi hupenda waolewe umri huomimi nina 19 goli la 3 siendi acheni kujichosha,
fanyeni vitu vya msingi
Kila mwanaume anayo. Zilizovimba tu ndo kwa wazee, zinavimba mwishowe kuziba njia ya mkojo kama sikosei..Hivi tezi dume inasababishwa na nini ???
Na dawa yake ni kupigwa dole km sikoseiKila mwanaume anayo. Zilizovimba tu ndo kwa wazee, zinavimba mwishowe kuziba njia ya mkojo kama sikosei..
Punguza shisha, k vantKama ambavyo mtu utaanza kugundua umekuwa mkubwa pale unapoanza kusalimiwa na vijana wadogo basi ndivyo utavyojigundua kwa mabadiliko ya uwezo wako kwenye shoo...
GOLI 3 NI UTUMWA.Wewe umri huo 17-23 hapo damu inachemka hatari 24-27 hapo wanapigwa sana mimba mabinti sababu zinakua zipo on 🔥 na wengi hupenda waolewe umri huo
Sasa wewe imekuaje?
Burudani Kwa kweli JF.Nime cheka mpaka kulia yaaaani dah