A
Anonymous
Guest
Nina dukudhuku kuhusu Idara ya Uhamiaji Kurasini hapa Dar es Salaam, Mtu unaomba Passport kwa ajili ya matembezi mfano kwenda Kenya wao wanataka bank statement, unaleta bank statement wanataka barua ya mwaliko.
Unaleta barua ya mwaliko wanakusukumizia kwa afande mwingine wanaanza kuhoji ukoo na bado unaambiwa issue yako ngumu toa laki 2 tukusaidie na wakati huohuo mtu kalipia ada ya Passport laki na nusu.
Nimechukia sana najiona kama sio Mtanzania bali mtumwa, kama ni hivyo kwa nini watu wanawapa Control Number wakalipie kisha wanakuja kuwazuia kwa kuhitaji vitu vingine?
Mtu umelipia ada zote za Passport unalazimishwa uchukue temporary passport yaan tunapangiana safari?
Nimeanza kufuatilia tangu Septemba 2025.