Itakuwa wewe ni malkia/mfalme wa ndege,umewakimbia.hili jambo sijalielewa kabisa.... mnisaidie!
Nyumbani kwangu kuna ndege wengi sana tena wengine wameweka viota vyao mpaka darin hasa kwenye baraza la nyumba.
Ninaofisi maeneo fulan ya mji, nashangaa ndege hawa hapa, alianza mmoja wameongezeka kila siku, wamefikia hatua yakujenga viota vyao nje ya dali la ofisi yangu.
Kuna boma nimelianzisha sehem,juz nimeendapo nikakuta miti yote ni viota vya ndege.
Naombeni wadau mnisaidi hii inaweza kuwa nini!