Andika tenaKwa kwel hat mm. Wananifata San had nkaaza kuwaa kuamaa nyumba
Wewe nio mfalme ndegehili jambo sijalielewa kabisa, mnisaidie!
Nyumbani kwangu kuna ndege wengi sana tena wengine wameweka viota vyao mpaka darini, hasa kwenye baraza la nyumba.
Nina ofisi maeneo fulani ya mji, nashangaa ndege hawa hapa, alianza mmoja wameongezeka kila siku, wamefikia hatua yakujenga viota vyao nje ya dari la ofisi yangu.
Kuna boma nimelianzisha sehem, juzi nimeenda hapo nikakuta miti yote ni viota vya ndege.
Naombeni wadau mnisaidi hii inaweza kuwa nini!
Du hata bundi akikufuata pia ni baraka? 😃 😃 😃Ni ishara ya Baraka. Ndege ni baraka huwafuata wenye baraka
Hahaahaaaha umenifurahishaZigiZaga,
Angalia maua ya nguo unazovaa. Huenda zikawa kivutio kwao. Maana watu wengine kila mkiona nguo mnadani mnatembea nayo.
Sababu huna akiliHili jambo sijalielewa kabisa, mnisaidie!
Nyumbani kwangu kuna ndege wengi sana tena wengine wameweka viota vyao mpaka darini, hasa kwenye baraza la nyumba.
Nina ofisi maeneo fulani ya mji, nashangaa ndege hawa hapa, alianza mmoja wameongezeka kila siku, wamefikia hatua yakujenga viota vyao nje ya dari la ofisi yangu.
Kuna boma nimelianzisha sehem, juzi nimeenda hapo nikakuta miti yote ni viota vya ndege.
Naombeni wadau mnisaidi hii inaweza kuwa nini!
Si lazima uwe nyau Inawezekana kabisa haukuwatendaMim napendwa sana na paka. Yaan nikienda baa..paka wote wanahamia meza yangu.wakat meza zingne watu wanakula pia.ila utakuta paka wote wanakuja meza yangu..sasa sielewi inamaana kama ulivosema kuna uwezekano past life yangu nilikua nyau
Ok safi utakuwa na roho safi...
ndege hawafatagi watu wenye roho mbaya
Yy amelazimisha kwa kununua ndege za chuma mbishi yuleNdiyo maana "stone" huwa hafuatwi na ndege??? 🦂