Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,468
- 32,167
Kuna ndugu yangu kaokoka basi akiona mijusi anaiua anasema eti inatumwa na wachawi. Mimi sinaga noma na mijusi hata kama ninaishi sehemu ipo uwa sina noma nayo maana katika kukua kwangu mzee alijenga sehemu ilikuwa ina mijusi wengi tena wakati nyumba bado msingi ilikuwa ni mara nyingi unakuta mayai mijusi kwenye mchanga na baada ya kuhamia ilikuwa kawaida kuona mijusi ikitambaa ukutani na hakuna aliyekuwa hata ana take notice.Hawana shida ogopa sana wale wale wote wenye madhara kwa binadamu na viumbe wengine
Mimi uwa ninaumia nikiona anaua mijusi maana naonaga ni kati ya viumbe visiyo na shida na binadamu maana zaidi ya kula wadudu hawana hata time na binadamu.