SwaibaUkiwafukuza au kuwadhuru kwa namna yeyote ile imekula kwako!
Ni ishara ya Baraka. Ndege ni baraka huwafuata wenye baraka
Je na mijusi wana ishara gani nao wapo wengi sana kwangu sijajua nn sababuNi baraka wala usihofu.. Tukija kwenye karma una vinasaba nao na past life yako ulikuwa ndege ama uliwatendea vema wanyama hasa ndege
Hawana shida ogopa sana wale wale wote wenye madhara kwa binadamu na viumbe wengineJe na mijusi wana ishara gani nao wapo wengi sana kwangu sijajua nn sababu
Mim napendwa sana na paka. Yaan nikienda baa..paka wote wanahamia meza yangu.wakat meza zingne watu wanakula pia.ila utakuta paka wote wanakuja meza yangu..sasa sielewi inamaana kama ulivosema kuna uwezekano past life yangu nilikua nyauNi baraka wala usihofu.. Tukija kwenye karma una vinasaba nao na past life yako ulikuwa ndege ama uliwatendea vema wanyama hasa ndege
Wewe ni Jinsia Ke? Maana...Mim napendwa sana na paka.yaan nikienda baa..paka wote wanahamia meza yangu.wakat meza zingne watu wanakula pia.ila utakuta paka wote wanakuja meza yangu..sasa sielewi inamaana kama ulivosema kuna uwezekano past life yangu nilikua nyau
Mim napendwa sana na paka.yaan nikienda baa..paka wote wanahamia meza yangu.wakat meza zingne watu wanakula pia.ila utakuta paka wote wanakuja meza yangu..sasa sielewi inamaana kama ulivosema kuna uwezekano past life yangu nilikua nyau
Ok safi utakuwa na roho safi...siyo bundi mkuu, ni hawa ndege wadogowadogo jamimi ya kweleakwelea.
Wewe ni mtu wa amani sanahili jambo sijalielewa kabisa, mnisaidie!
Nyumbani kwangu kuna ndege wengi sana tena wengine wameweka viota vyao mpaka darini, hasa kwenye baraza la nyumba.
Nina ofisi maeneo fulani ya mji, nashangaa ndege hawa hapa, alianza mmoja wameongezeka kila siku, wamefikia hatua yakujenga viota vyao nje ya dari la ofisi yangu.
Kuna boma nimelianzisha sehem, juzi nimeenda hapo nikakuta miti yote ni viota vya ndege.
Naombeni wadau mnisaidi hii inaweza kuwa nini!
Missing you so much! Rafiki mume hajaaribu huko na sisi tukaaribu?[emoji16][emoji16][emoji16]Swaiba