Nafuatwa na ndege kila mahali, hii ina maana gani?

Ni baraka wala usihofu.. Tukija kwenye karma una vinasaba nao na past life yako ulikuwa ndege ama uliwatendea vema wanyama hasa ndege
Mim napendwa sana na paka. Yaan nikienda baa..paka wote wanahamia meza yangu.wakat meza zingne watu wanakula pia.ila utakuta paka wote wanakuja meza yangu..sasa sielewi inamaana kama ulivosema kuna uwezekano past life yangu nilikua nyau
 
Mim napendwa sana na paka.yaan nikienda baa..paka wote wanahamia meza yangu.wakat meza zingne watu wanakula pia.ila utakuta paka wote wanakuja meza yangu..sasa sielewi inamaana kama ulivosema kuna uwezekano past life yangu nilikua nyau

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ni mtu wa amani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…