Nafuatwa na ndege kila mahali, hii ina maana gani?

Kwa kwel hat mm. Wananifata San had nkaaza kuwaa kuamaa nyumba
 
Ndege hawakai kwenye uharibifu wa aina yoyote kwa hyo ww una neema
 
Wakuu nimefuatilia naona dalili za baraka hapa!

Vipi mwenye ufahamu kwa anaefuatwa na vipepeo (Butterflies) na Sungura (Bunnies)?
 
Wewe nio mfalme ndege
 
Nilifikiri unafuatwa na Jet kila unapokwenda.

Nikasema huyu mshefa gani tycoon tunaye hapa JF safari zake ndege inamfuata yeye?

Kumbe ndege wa viota?

Hao hata mimi nyumba yangu ya shamba kila spring wanaingia kwenye air vent.
 
Kuna thread humu ndani inaeleza..nadhani wanayoikumbuka wanaweza tuwekea.. Hii nikwa upande wa tahadhari... Ukienda mahali ukaona kichaka Halafu ndege Wamejenga viota vyao sehemu tulivu kimbia mbio Sana maana Hapo ni dalili chini Pana nyoka WA hatari Sana.
 
Ukiona ndege wanakufuata kila uendapo maana yake utakuja kuwa Rais
 
inategemeana ni ndege gani usikute ni bundi
 
Sababu huna akili
 
Mim napendwa sana na paka. Yaan nikienda baa..paka wote wanahamia meza yangu.wakat meza zingne watu wanakula pia.ila utakuta paka wote wanakuja meza yangu..sasa sielewi inamaana kama ulivosema kuna uwezekano past life yangu nilikua nyau
Si lazima uwe nyau Inawezekana kabisa haukuwatenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…