Nafuatwa na ndege kila mahali, hii ina maana gani?

Hawana shida ogopa sana wale wale wote wenye madhara kwa binadamu na viumbe wengine
Kuna ndugu yangu kaokoka basi akiona mijusi anaiua anasema eti inatumwa na wachawi. Mimi sinaga noma na mijusi hata kama ninaishi sehemu ipo uwa sina noma nayo maana katika kukua kwangu mzee alijenga sehemu ilikuwa ina mijusi wengi tena wakati nyumba bado msingi ilikuwa ni mara nyingi unakuta mayai mijusi kwenye mchanga na baada ya kuhamia ilikuwa kawaida kuona mijusi ikitambaa ukutani na hakuna aliyekuwa hata ana take notice.
Mimi uwa ninaumia nikiona anaua mijusi maana naonaga ni kati ya viumbe visiyo na shida na binadamu maana zaidi ya kula wadudu hawana hata time na binadamu.
 
Una nyota ya nafaka.... Ndege wanapenda Sana nafaka
 
We ni ndege mwenzao
 
Du hata bundi akikufuata pia ni baraka? 😃 😃 😃
Bundi ukiona anakufata jua unakaribia kufa ama kuna mtu ameisha anza kufa hapo ulipo. maana bundi ni moja kati ya wanyama (ndege) wenye uwezo wa kusikia harufu ya seli zilizokufa
 
mzee wangu alikua anafuatwa na ndege sana, saa ingine wanatua kichwani or began, mda mwingine wanamnyea... aliamini ni baraka bt bdae aliugua sana mpaka leo sasa siwezi jua kwa upande wako bt ka wewe ni mtu wa mungu fanya maombi umuombe mungu akupe mwongozo juu ya ndege hao kama ni wana ashiria wema/ubaya
 
Ukiona mijusi imeanza kupenda kuingia ndani jua kuna mtu ndani ana ujauzito.
Chunguza vizur utakuta ndan mwako kuna mtu ana ujauzito ama ww umetia mtu mtu mimba
Itakua nimemtia mtu mimba maana hua mwagia ndani sana sio juu juu
 
Angalia harufu ya mafuta/manukato unayotumia
 
Angalia mavazi yako huenda yanawavutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…