NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

Sawa naona umepata cha kujitetea hiyo moja tu kwanza nimekuja kujua hao apple Kuna apps wanaziweka kwaajili ipad pekee na huku iPhone zikiampulia patupu wakati wadau huku as long as ni kwaajili ya android yaani ni kupakua tu uwe tecno, Samsung wepakua tu. Mfano tafuta app inaitwa medibang paint.
 
Unajua kwanini iPad ilifanikiwa kuliko tabs za android? Ni kwasababu ina apps specific kwa ajili yake wakati android apps za simu ndizo hizo hizo za tabs ila kwenye tab zinatanuliwa hilo linakuwa tatizo hupati ile experience nzuri kwasababu hazijatengenezwa specifically kwa ajili ya tab.
Samsung amejaribu kulisolve hiki kwenye tab zake lakini bado tatizo lipo
 
Sasa hio ni faida kwa wao apple huku kwa watumiaji mkibaki mkiumia kwa sababu Kuna task utashindwa kuzifanya kwa iPhone huku watu wa android wataweza kuzifanya. Hafu kingine tablet za android nadhani zimefail sio kwa sababu wameshindwa kutenganisha app ila developer wengi hawajaona opportunity mbona Kama ni hivyo ni swala la kucheza na code za viewport Kama wanavyoongeza code za mediaquire kwenye CSS5 katika web app development na wanapata muonekano tafauti Kati device tofauti tofauti
 
Developer anatengeneza app moja anataka irun kote. Hii ni tofauti na iPhone na iPad. Kuna utofauti wa app na hii inasaidia hata kutake advantage ya uwezo wa kifaa. Mfano kwa sasa iPad latest zina run m1 chip, siko powerful na app kwa sababu ni mahususi kwa ajili yake inatake advantage ya huo uwezo.
Jana nimeona kuna feature iPad zinazorun chip chini ya m1 haziiipata, na apple wamejibu wakati wa testing, waligundua zile user experience haiko kama wanavyotaka coz chip yake siyo powerful ikabidi wasiipe hiyo feature.
 
Eye-phone simu za kishamba sijawah ona
 
Kwahiyo tunakubaliana kua IPHONE WAPO KIBIASHARA ZAIDI SIO UUZIWE SIMU NDO IWE IMEISHA..... PESA INATAKIWA IINGIE KWA KILA UFANYACHO KATIKA SIMU YAKO???
 
Kwahiyo tunakubaliana kua IPHONE WAPO KIBIASHARA ZAIDI SIO UUZIWE SIMU NDO IWE IMEISHA..... PESA INATAKIWA IINGIE KWA KILA UFANYACHO KATIKA SIMU YAKO???

“Kwa kila ufanyacho katika simu yako” really?
Wengine mnaongeaga tu
 
Hawa niwakubwa sana wanafanyaga review ya kila aina ya simu, jamaa wapo deep..nikitakaga kununua simu naendaga kuangalia review zao
Nenda mtandaoni kaangalie mjadala unaoendelea kuhusu huyo Mrwhosetheboss na Mkbhd. Wapuuzi wanaonyesha mapenzi ya waziwazi mpaka wamelikoroga kwenye mjadala wao wa mwisho wa Ios vs Android.

Kama unatumia reviews kununua simu ni mara 100 ukawatumia small youtubers, wakubwa wapo kwenye payroll ya makampuni makubwa.
 
Mkuu nimeona na kusema ule ukweli vitu vingi wanavyosema huwa ni ukweli, btw i am a tech guy na sinunuag kitu yoyote ya umeme bila technical insight yake, na kuwatolea mfano hao jamaa ni kwasababu they simply the best..and yes nahis wapo kwenye payroll , who does that for free ?.
 

Kuna mtu kwa juu hapo nahis ana hasira na Mrwhosetheboss[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…