NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

Ukweli ni upi? Ukweli utabaki pale pale kama wewe si mpenzi wa customization, Iphone ni simu bomba ila kama wewe unataka kutumia simu kwa 80%+ android ni chaguo sahihi. Nafaka

Halafu kuhusu Iphone kutumiwa na wazee mambele hili hata sio la kubisha kafanye tafiti mzee.
Siyo kweli mkuu US teens wenyewe wanapenda iPhone na hadi wanaotumia android wanaonekana kutengwa.
Unajua kwanini Google anamtaka Apple adopt RCS kwenye iMessanger? Ni kwasababu teens wanachukua iPhones kuendana na wenzao. Kasome blue vs green buble effect.
Hata statistics Mobile OS share in North America 2018-2021 | Statista
Ziko wazi.
 
Ukiachana na Imessage mkuu kinachofanya vijana wengi kutumia Iphone ni kutafuta kukubalika kwa vijana wenzao(status).

Bado point yangu ni kama unaweza na kupenda kuchezea simu yako basi android ni chaguo sahihi ila kama matumizi yako ya kawaida tu Iphone chaguo sahihi kwako.
 
Lakini kumbuka android kila toleo anazidi kuifunga.
Halafu kwa mbele ecosystem ya apple yani ni hatari unakuta vifaa viko linked kirahisi
 
Siku hizi Android anataka kuwa Ios naye Ios anabeba vitu vya Android.

Ecosystem ni kweli hapo Apple hawana mpinzani ingawa Samsung Dex ni tamu pia kwa windows.
 
Si ajabu ungetafuta same developer hiyo hiyo app na android ingekuwa inauzwa. Maana kila developer ana njia yake ya kumake money. Karibu apps zote ambazo ni bure android na iOS ni bure
Kama ni developer huyo huyo haziwezi kuwa tofauti na hii ipo kwenye app kubwa nasemea app ndogo ndogo unaweza ukaipata Android kwa developer tofauti na yule developer wa ios ambaye amedevelop app ambayo inafanya kazi moja Kama ya android. Kwa hapa bei ni tofauti sana.

Hafu kingine android ina app nyingi ambazo nyingi Zina fupisha na zinarahisha Mambo mfano Kuna features ambazo Adobe reader wanazifungua kwa Tsh 23000 Kama vile editor, compress, merge na etc. Ila hapa Sasa wadau huwa tunadunduliza compressor app kivyake editor app kivyake, merge app kivyake. Tshs 23000 kwa mwezi inakua imekwepwa
 
Android inaongoza kuwa na app nyingi na matakataka yakiwa ni asilimia nyingi zikiwemo app za viblog uchwara kitu ambacho apple hakipo maana mpaka app iende hewani wanaipitia kwanza na fees za acc ya kuweka app ziko juu.
 
Ukiwa na ugumu wa maisha ni wewe tu usisemee watu ukiwa na shida sio kuwa na mwenzako wanazo kila MTU ana life lake kikubwa jikubali na kujituma ukibaki kulaumu haisaidii
Nani amelaumu? Umeseme mm nina ugumu wa maisha ndiyo Nina ugumu wamaisha kwa sababu Mimi naishi katika bara maskini hata nikiwa na million Mia ndani bado Kuna Ndugu, majirani wanashida huwezi sema Nina hela ya kupoteza. Mimi nadhani wabongo/waafrika wengi ni wajinga, limbukeni, wabinafsi. Haiwezekani maengineer wa huko nje wanakaa wanahangaika kupunguza cost, kutafuta best solution. Hafu Kuna mbongo mmoja anakuja juu anasema yeye ameamua tukufanya Jambo tu. Kisa ni Mambo yake huu ndio ubinafsi wa mwafrika.
 
Android inaongoza kuwa na app nyingi na matakataka yakiwa ni asilimia nyingi zikiwemo app za viblog uchwara kitu ambacho apple hakipo maana mpaka app iende hewani wanaipitia kwanza na fees za acc ya kuweka app ziko juu.
Sasa hizo hizo unazoziita wewe takataka zinarahisha Mambo asikwambie mtu android ushindani upo juu yaani Leo huyu anakuja na offer hii kesho ile. Hivi kitu Kama vidmate unaweza sema ni takataka Kuna ngoma moja inaitwa vectorink zidhani Kama iOS ipo
 
Kama ipo iOS nioneshe Nafaka
Screenshot_20220615-212758.jpg
 
Mkuu hii appstore haipo, ila vector art imeundwa kufanya kazi kwenye every device, ni web based app, so you can still use it via a browser kwa kutumia any device.
Naposema matakataka namaanisha zile app zilizojazana playstore ambazo uwa hata hazifanyi kile developer anachosema zinafanya zejaa ads tu
 
ndio maama kabla hujaweka app katika simu yako kuna uwanja wa reviews,na ranks wameweka.
hakuna app isiyofanya kilichoandikwa ila kwa ufanisi gani???ndio maama kwa kazi moja unawezakutana na msururu wa app hata 20 developer tofauti.

inasema ads sijawahi kuona simu ina ads kama iphone,tena nyingi zimewekwa kudisplay over odher app,utakuta linapop juu screen yote,hata adaway haikai.
 
acha utani iPhone ipi ina ads hivyo..hivi ushawahi ona hizo Xiaomi, Android nyingine ads zinakuja mpaka Home-screen
 
ndio maama kabla hujaweka app katika simu yako kuna uwanja wa reviews,na ranks wameweka.
hakuna app isiyofanya kilichoandikwa ila kwa ufanisi gani???ndio maama kwa kazi moja unawezakutana na msururu wa app hata 20 developer tofauti.

inasema ads sijawahi kuona simu ina ads kama iphone,tena nyingi zimewekwa kudisplay over odher app,utakuta linapop juu screen yote,hata adaway haikai.
Siyo kweli.. Google Play kuna utitiri wa app zisizofanya hata kilichoandikwa. Nyingi sana. Zile zinatengenezwà tu kwa ajili ya kupata pesa za matangazo
 
Ukiachana na Imessage mkuu kinachofanya vijana wengi kutumia Iphone ni kutafuta kukubalika kwa vijana wenzao(status).

Bado point yangu ni kama unaweza na kupenda kuchezea simu yako basi android ni chaguo sahihi ila kama matumizi yako ya kawaida tu Iphone chaguo sahihi kwako.
Ecosystem inawalazimisha wengi watumie apple products.
 
Back
Top Bottom