NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

Hawana lolote, hao jamaa hawasikilizi wateja wanataka nini mpaka EU ilipoamua kuwakomesha. Yaaani simu unanunua kwa mamilioni na bado unapangiwa nini cha kudownload, website zipi uingie na zipi usiingie, na kuna limitations nyingine kibao.
Wenzetu huko nchi za watu civilized wameona hapana, Apple amezidi mipaka sasa na kila ushenzi anaofanya anasingizia security, EU akaleta sera za kumkomesha[emoji38][emoji38] Ukiingia gsmarena huko watu wanalalamika sana kuhusu limitations za iPhone, Ulaya pia wameshachoka huu ujinga ila ukija huku Afrika, kwa sababu anayefanya hayo ni Apple basi wanasema ni Innovation[emoji38][emoji38] Very poor minds!
Watu wengi wa Apple ukiwaambia ukweli hata kwa facts watatoa majibu ya kejeli kama hayo ulioyatoa wewe. Mnahusisha sana kununua iPhone na utajiri wakati hata hao Samsung, Xiaomi,Google Pixel, Huawei, Oppo, Vivo na wengine wanazo simu za bei mbaya kama hizo iPhone tena zenyewe ni worth it kuliko iPhone
iOS 17 ikitoka nitaanza kuipenda Apple tena, maana upuuzi wao huu wa sasahivi watautoa kutokana na shinikizo la EU. Sisi Afrika tuendelee kuita innovation
Android kwa sasa ndio mpango mzima[emoji847][emoji847]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna utajiri ni maamuzi tu uamue kutumia au laaah ila utake usitaki brand ya iphone ni yawatu wakati mpaka top richest ndomaana hawana simu ya laki tatu kama samsung , tecno , opp nk kupangiwa ni lazima shekhe kuna magari watu wananunua kwa pesa nyingi sana na wanapangiwa matumizi mfano tu toyota ist unaweka lita moja ya mafuta nagari linatembea vizuri tu ila kuna magari mengi ukiweka hiyo lita moja halitembe kabisa pia kunamagari bila tank ya hewa kujaa halifanyi kazi yoyote na pia kuna magari ya umeme mtupu so kupanga ni kuchangu alafu kiufupu namshukuru mungu nimetembelea masoko mengi tu wengi wanapenda muonekano mzuri wa iphone ila hawapendi kupangiwa so hawa ndowanaolalamika mmoja wapo ni wewe ila tunaopenda kupangiwa wala hatulalamiki tuna raha na iphone zetu bila shida watu wahali ya chini sana ndowanamambo mengi sana kutaka kudownload movies na music ila asilimia watu wakati mpaka jua wao wapo online sana kwakila kitu mfano tu kipindi black berry yupo on top na BLACK BERRY MESSAGE (BBM) ilikuwa raha tena walifanya watumiaji walilidhika bila shida ila waliotamani kutumia ila wakataka ifanane na android ndo wanaoongoza kulalamika kila simu inayoonesha utafauti kiufupi wengine tunataka utafauti kidogo tu hawa EU niamini mimi IOS 17 itabadili kidogo ila haitoweza kuwa huru kama android ilivyo pia utake usitake brand ya iphone ni ya watu wakati mpaka richest tu huko chini hawapo na wanaongoza kulalamika nihao wanaotumia 6,7,8,x,xr,xs,xs max ila ukiwa 14/13 huwezi kumkuta analalamika eti siwezi kudownload nyimbo au movies au app nnje ya appstore [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani ni sawa sawa mtu amiliki TOYOTA L300 alafu alalamike mafuta yanaenda sana haiwezekani inatakiwa iwe inakunywa mafuta sawa na IST [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Android ilivyokuwa inatengenezwa walikupigia simu au walikushirikisha ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Android ilivyokuwa inatengenezwa walikupigia simu au walikushirikisha ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Android user sio peke yangu. Wapo wengi halafu ungeielewa point yangu hata usingeuliza swali la kitoto hivi. Lakini cha msingi niliyemtag alinielewa nilikuwa ninamaanisha nini ndio maana akatoa jibu lenye mantiki hapo juu. Jaribu kusoma jibu la mwenzako hapo juu ujifunze kutoka kwake. Maybe next time hautouliza swali la kitoto kama hilo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna utajiri ni maamuzi tu uamue kutumia au laaah ila utake usitaki brand ya iphone ni yawatu wakati mpaka top richest ndomaana hawana simu ya laki tatu kama samsung , tecno , opp nk kupangiwa ni lazima shekhe kuna magari watu wananunua kwa pesa nyingi sana na wanapangiwa matumizi mfano tu toyota ist unaweka lita moja ya mafuta nagari linatembea vizuri tu ila kuna magari mengi ukiweka hiyo lita moja halitembe kabisa pia kunamagari bila tank ya hewa kujaa halifanyi kazi yoyote na pia kuna magari ya umeme mtupu so kupanga ni kuchangu alafu kiufupu namshukuru mungu nimetembelea masoko mengi tu wengi wanapenda muonekano mzuri wa iphone ila hawapendi kupangiwa so hawa ndowanaolalamika mmoja wapo ni wewe ila tunaopenda kupangiwa wala hatulalamiki tuna raha na iphone zetu bila shida watu wahali ya chini sana ndowanamambo mengi sana kutaka kudownload movies na music ila asilimia watu wakati mpaka jua wao wapo online sana kwakila kitu mfano tu kipindi black berry yupo on top na BLACK BERRY MESSAGE (BBM) ilikuwa raha tena walifanya watumiaji walilidhika bila shida ila waliotamani kutumia ila wakataka ifanane na android ndo wanaoongoza kulalamika kila simu inayoonesha utafauti kiufupi wengine tunataka utafauti kidogo tu hawa EU niamini mimi IOS 17 itabadili kidogo ila haitoweza kuwa huru kama android ilivyo pia utake usitake brand ya iphone ni ya watu wakati mpaka richest tu huko chini hawapo na wanaongoza kulalamika nihao wanaotumia 6,7,8,x,xr,xs,xs max ila ukiwa 14/13 huwezi kumkuta analalamika eti siwezi kudownload nyimbo au movies au app nnje ya appstore [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani ni sawa sawa mtu amiliki TOYOTA L300 alafu alalamike mafuta yanaenda sana haiwezekani inatakiwa iwe inakunywa mafuta sawa na IST [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Samsung gani ya laki tatu??low end zenyewe tu mpya ni laki 550k kuendelea.

Kama hoja ni hiyo hata iphone 6 inauzwa 150k leo hoja ni ipi hapa!!!

Kuna watu mnatumia iphone mnafanya wenye iphones wote waonekane ni vilaza.
 
Samsung Galaxy A03 Core ya mwaka Jana 2022 ni TSh 240,000/= hadi 270,000/= tena ni bei ya Kariakoo mpya kwenye boksi lake. Samsung Galaxy A03, A03s na A04 ni laki tatu na nusu kwa hapa Bongo. Hizo nazo ni Samsung ila ni lowend
Lakini kuliko nichukue iPhone 6 ni bora nichukue Samsung Galaxy A03 [emoji38][emoji38]
 
Watu wako serious sana na hivi vitu wakati ni passion tu.

Mtu ana iphone xr au 11 anakwambia s22 hakuna kitu[emoji38][emoji38],eti hamna iphone ya laki 3,sijui anamaanisha mpya au anamaanisha iphone???
 
Android user sio peke yangu. Wapo wengi halafu ungeielewa point yangu hata usingeuliza swali la kitoto hivi. Lakini cha msingi niliyemtag alinielewa nilikuwa ninamaanisha nini ndio maana akatoa jibu lenye mantiki hapo juu. Jaribu kusoma jibu la mwenzako hapo juu ujifunze kutoka kwake. Maybe next time hautouliza swali la kitoto kama hilo
Swali langu liko wazi kabisa , nimeuliza wakati android inatengenezwa au mpango wa kuitengeneza walikushirikisha ? au lets say the next update ya android mmeshirikishwa kwa namna yoyote? kama ni ndiyo naomba kujua mmeweka input gani mtwambie hapa maana umesema wanasikiliza wateja wanakata nini na nyie ndo wateja wenyewe. As simple as that...
 
Ndiyo nilishirikishwa
 
Tatizo la simu nzuri za samsung ni delicacy. Simu ukiweka tu mfukoni na funguo unakuta imevunja kioo. Ilinitokea kwa S8
 
siongei sana, wacha tunyoke moja kwa moja kwenye hizi points zaidi ya 20

Bei ya iphone ipo juu kwasababu haitaki ushindani

View attachment 2172222

Iphone ni kama unaposafiri safari ndefu kwa basi, huwa kuna ile migahawa ipo highway sehemu ambazo hakuna makazi, bei ya "robo sahani" ya chipsi na vimishkaki vidogo ni elf 5 na huwezi kuwaambia kitu, Android ni kama kwenda mtaa wenye migahawa kibao, hapa kwavile kuna ushindani muuzaji yupo tayari akuuzie chipsi "sahani nzima" na mishkaki ya kushibisha kwa buku tatu na hapo faida yake ni ndogo sana, utalia chips zako kwenye sahani ya udongo, maji ya kunywa yapo bure unajimiminia, kabichi utawekewa, pilipili ipo, n.k..... Bidhaa za iphone kama iphone 13 pro max gharama ya utengenezaji ni milioni 1 lakini wanaiuza milioni 3 na nusu hii ni kwasababu kampuni haitaki ushindani wa kuruhusu makampuni mengine yatengeneze simu zenye system ya iphone, pia iphone wanatumia mbinu ya "prestige oricing", mfano mrahisi ni mkanda imara wa ngozi unauzwa elf 20 lakini mkanda wa manyoya ya paka unauzwa laki kwa sababu una nembo ya Nike, Gucci, n.k.

Kwa upande wa android ushindani ni mkali sana, si ajabu kukuta simu imetengenezwa kwa milioni 1 ikauzwa kwa milioni 1.3, unaanzaje anzaje kwa mfano kuuza chipsi za elf 5 mtaa uliojaa migahawa inayouza chipsi buku 2 sahani nzima, ushindani ni mkali mpaka watu wameamua kuweka viyoyozi, tv, maji bure, n.k ?

Android inaweza kufanya mambo mengi kwa mpigo kirahisi (multi tasking)
View attachment 2167558

Kufanya shughuli zaidi ya moja kwa urahisi ni kitu muhimu ambacho kimebanwa sana kwenye iphone, mfano ukitaka kuhamia app nyingine wakati upo kwenye video call basi video call itakata ili uweze kutumia app nyingine, Android unaweza kutumia hata apps hata 10 kwa mpigo na ndio maana kuna kitufe maalum katika vile vitatu ambacho ni maalum kwajili ya multi tasking, kwenye android pia kuna split screen ambayo inafanya screen igawanyike katika vyumba kadhaa kwa shughuli unazotaka kufanya kwa mpigo. (Iphone nao wanataka uiweka hii ila sijajua lini)

Kwenye iphone hakuna tundu la kuchomeka earphones
View attachment 2166337

Kitu walichofanya iphone ni kulitoa tundu ili kuwakamua pesa watumiaji wao kwa kuwalazimisha wanunue earphone zao zisizo na waya zinazouzwa kuanzia laki 2 na inabidi uzichaji kila siku, wabongo wengi uchumi ni tatuz huwa wananunua earphone za iphone feki za elf 30, hata iphone wanazonunua ni za mchongo zilizotumika (refurbished) za bei rahisi.

Kwa android uchaguzi ni wako, unaweza uamue kutumia earphone za waya au waweza nunua zisizo na waya kulingana na bajet yako. Earphone za waya zina umuhimu wake, huwa hazihitaji kuchajiwa kila mara, huwa zinasaidia simu ikianguka isigonge sakafu na pia mtu akitaka kukuibia simu yako unastuka.

Usb cable za Android zina nguvu, spidi na rahisi kupatikana.
View attachment 2175924

cable za usb-c zinatumika kwenye simu nyini za androif, redio, camera, tochi, power bank, speaker, n.k. hii inafanya upatikanaji wake kuwa rahisi mno, hata ukienda vijiji vya porini huko unaweza kuazima cable ya kuchajia redio uchajie simu yako ya android. cable za usb-c zina speed kali mno kwenye kuhamisha mafaili, pia cable za usb c zina nguvu kubwa sana ya kuchaji (fast charging). Cable za iphone hapa hazifu dafu.

Android kuna apps nyingi kuliko Iphone
View attachment 2166329

Playstore ya Android kuna apps nyingi kuliko Appstore ya Iphone, Sababu kuu ni kwamba, ili mtengenezaji wa app aiweke app yake kwenye playstore ya android atalipia elf 55 (55,000) mara moja tu lakini kwa upande wa iphone kuweka app kwenye appstore ni lazima ulipie laki 2 na elf 30 (230,000) “kila mwaka”, hapa ndipo watengenezaji wengi wa app wanakimbilia kutengeneza apps za android sababu ni bei rahisi na pia watumiaji wa android ni wengi kuzidi iphone. Iphone walitaka kuzifanya app zao za facetime na i-message ziteke soko kama kile kipindi cha bbm ya blakberry lakini kwa ujio wa whatsapp, telegram, zoom, n.k mpango wa iphone ulidoda.

Iphone huwezi kurekodi simu
View attachment 2175925

Kwenye android ukiwasha voice / sound tecorder unaweza kurekodi simu, simu nyingine za android zinakuja na feature ambayo unavyopiga au kupokea simu kuna option ya kurekodi simu. Kwenye iphone hii feauture imeblokiwa, hata ukijaribu kurekodi screen wakati upo kwenye maongezi huwa inakataa, kuna njia mbadala kama app ya mimic unayolipia laki kila mwaka ila ni hatari maana kitu kinachofanyika ni kwamba mawasiliano huwa yanapelekwa kwenye server ndio yanayatumwa kwak, mawasiliano yakienda kwenye server tayari mtu mwenye server anaweza kuyasikia.

Simu ya android yaweza kutumika na mtu zaidi ya moja (multi user)
View attachment 2166326

Hii inaitwa multi user, simu inaweza kutumika na zaidi ya mtu moja bila kuingiliana mambo, mfano unaweza kumtengenezea account mtoto wako awe anachezea game bila yeye kuona message zako, picha / video zako, apps zako, mawasiliano yako, n.k. utampa simu aitumie bila wasi wasi, wewe unakuwa kama admin flani hivi. Ni nzuri pia kwa mtu anapenda kuazima simu yako ila anapenda kupekua pekua visivyomuhusu.

Iphone inatengenezewa vifaa na kampuni za simu za android
View attachment 2172257

Samsung huwa wanatengeneza simu za android lakini pia wanawauzia iphone vifaa kama vioo, processor, nano flash, n.k. hii ni kutokana na uimara wa vifaa vya samsung ambavyo vilimvutia iphone...

Android utatumia internet bure bila bando
View attachment 2166352

Mtu wa iphone atajibana bana anunue kifurushi cha GB 2 kwa wiki, lakini hayo mambo ya kujibana hayapo android maana kuna apps kama ha tunnel, your freedom, n.k. zinafanikisha utumie internet bure. unaweza kutumia GB 100 kwa wiki na wala isiwe habari, Nikiri kusema kwamba hili si tatizo kwa wale wanaonunuaga iphone za milioni 3 matoleo mapya pale mlimani city, shida inakuja kwa hawa wa kununua iphones za kimchongo zilizotumika (refurbished) tena matoleo yaliyochuja na kila muda simu kaishika mkononi ili watu waione, hawa wengi wao wana changamoto za kiuchumi kwa hio hata mabando ni ya kutumia kwa machale.

Iphone haina memory card
View attachment 2166333

Iphone inaweza kuwa na gb 64 na ikajaa ukasindwa kuongeza nafasi ya ziada maana hakuna tundu la memory card, Lakini pia iphone inaweza kuwa na gb 200 lakini haiondoi umuhimu wa Memory card, simu yako inaweza kudondoka, kuungua, kupata hitilafu, n.k ikashindwa hata kuwaka ila kama ilikuwa na memory card basi utaichomoa kadi yako na ukayakuta mafaili yako yakiwa salama. hata ukiwa katika mazingira ya kuchukuliwa simu yako unaweza kutoa memory kadi yako chap chap ukaiacha simu iende, pia unaweza kuwa na memory card unayohamishia mafaili na kuitunza sehemu salama ili hata simu ukiibiwa isiwe shida.

Iphone unapews GB 5 kutunza picha, Android hakuna kikomo
View attachment 2175930

Kwenye iphone kuna icloud ambayo utapewa GB 5 bure za kutunza picha, kwa upande wa simu za android utatunza picha kwenye google photos bila kikomo.

Notch ya iphone inaziba vitu kwenye screen
View attachment 2172218

.Notch ni kile kisehemu cheusi juu kwenye screen chenye camera na sensor, kwenye iphone huwa ni kipana sana na huwa kinakuziba usione video nzima, pia kuna apps nyingine unakuta zinajaa na kupitiliza kwenye screen sehemu ya kwenye notch unashindwa kuona ama kuminya.

Ni shughuli pevu kuperuzi / kuhamisha mafaili ya iphone
View attachment 2166322

huku android tunatumia file manager tunaona mafaili yote kirahisi lakini system ya iphones kwa kuwa haishirikiani vema kwenye kushare storage na apps huwa inakuwa kazi ngumu kuperuzi mafaili, shughuli inakuwa pevu zaidi unapotaka kuhamisha mafaili kwenye iphone kwa computer / laptop, yani inabidi uwe na program ya itunes kwenye pc ili ufanikishe hili zoezi. unaweza kuwa na pdf file kwenye simu ya android ukifika stationary unachomeka waya wa usb kwenye computer unaprint kazi haraka, kwa upande wa mwenye iphone inabidi ambembeleze mwenye stationary aingize program ya itunes na hapo inabidi anunue bando ili kudownload itunes, yani hadi amalize hii shughuli anakuwa ametumia muda mwingi na kagharamika kununua bando.

Iphone haina radio
View attachment 2166334

Simu za Iphone hazina radio, hapa labda uwe unatumia bando kusikiliza radio za online. ukiwa na android hata kikifika kipindi cha uchaguzi, internet ikikatwa na tcra bado unaweza kuendelea kusikiliza radio.

Mipangilio ya muonekano imebanwa sana iphone
View attachment 2166317

Kwenye iphone kwenye swala la mipangilio ya muonekano (User inteferace customization) wamepigwa kanzu na android kwasababu kwenye android wanaruhusu kubadili launcher, hii launcher itakuruhusu kupangilia muonekano mzima wa simu yako kuanzia muonekano na upangiliaji wa icons, kubadili styles za miandiko, kuficha apps kirahisi kwenye home screen, kuseti mitindo ya app drawer, kuseti gestures, kucheza na swipe actions, scrolling effects, lock screen customization, widgets, n.k. kuna vitu vichache kama widgets za homescreen viliongezewa kwenye iphone mwaka 2020 lakini haya mambo yalikuwepo android toka kitambo.

Iphone haina always on diplay
View attachment 2166345
Kwenye simu za android utaweza kuzima screen ya simu yako ila itaendelea kuonyesha vitu muhimu kama saa, notifications, n.k. Hutakuwa na haja ya kuwasha screen ya simu kila muda ukitaka kuangalia muda. Huna haja ya kuhofia matumizi ya battery kwa sababu hii feature inatumika kwenye vioo vya kisasa vya Amoled ambavyo vinatumia charge kidogo sana, Kuna tetesi matoleo yajayo ya iphones huenda wataweka hii ishu.

Iphone ni lazima utumie bando kuingiza app/game

View attachment 2170901

Kwenye iphone njia pekee ya kuingiza app ni kuzi download kwenye appstore kwa kutumia bando, huku android si lazima kudownload app kwenye playstore, mfano kama unahitaji app flani na huna bando, unaweza kwenda kwa mwenye hio app akakuhamishia file la app kwenye memory card au kwa usb cable, ukipata file unaingiza app bila hata bando. ukitaka ujue thamani ya hii feature chukulia kwamba app kama game ina gb 7 ambazo kifurushi cha data ni shilingi elf 10, kwenye iphone lazima wekundu wa msimbazi ukutoke ili ushushe app ila kwenye android hutalipia hata senti, lakini pia kama sehemu haina network nzuri itabidi usubirie muda mrefu mpaka app imalize kudownload na kama internet imekatwa itabidi utulie tu.

Iphone wanachelewa sana kuweka mahitaji ya wateja
View attachment 2166343

Huwezi amini kwamba iphone ya kwanza kuwa na line 2 ilitoka mwaka 2018 september na hapo bila milioni 2 huipati, Kwenye android haya mambo yapo toka kitambo sana. Pia Tukija kwenye widgets za homescreen iphone iliziweka mwaka 2020 wakati android zipo muda mrefu.

Huwezi kuseti ringtone ya muziki kwenye iphone
View attachment 2166320

Ili kuseti ringtone yoyote kwenye android ni kitu ambacho kipo tayari na ni rahisi, kwenye iphone ni mpaka uwe mtundu mtundu ufanye kudownload apps za ziada., hii ndio sababu watumiaji wengi wa Iphones simu zikiita huwa zina mlio kama wa vingoma vya watoto, tulu tutu tu tu tu tu tu, ndi ndi ndi ndi.

Camera
View attachment 2166341

kamera zimeboreshwa sana kwa pande zote, hiki kigezo kwa sasa hakina uzito sana kama zamani picha zilipokuwa na ubora mdogo, Nimetoka kucheki simu zenye kamera kali nimeona inayokimbiza ni android pixel 6 pro, ila nimecheki ubora wa picha za iphone 13 pro max nimeona nayo inajitahidi, nadhani hizi ishu za kamera kwa sasa tuzichukulie kawaida, hata simu za laki 2 siku hizi mtu anakutumia picha safi tu ambayo ina ubora standard si haba, kadri miaka inavyoenda tutarajie hata simu za elf 80 zikitoa picha kali mno.

Ulinzi
View attachment 2166338

Hakuna system ambayo haipenyeki, ndio maana hata iphone wanao jibrand kwamba wana simu yenye ulinzi kamili kuna kipindi walikataa kutoa ushirikiano kwenye kuifungue simu ya gaidi ila wataalam wakaichokonoa chapchap ikafunguka bila msaada wa kiwanda cha iphone, hata I-cloud nayo ilidukuliwa zikavuja picha tupu kibao za mastaa, pia iphone hadi leo watu wanai jailbreak, n.k.. kwa iphone naweza kusema ulinzi wake umezidi ulinzi wa android kwa asilimia kadhaa ila sio kwamba ni ulinzi kamilifu. nawakumbusha kwamba sehemu dhaifu kwenye ulinzi wa kifaa huwa ni mtumiaji, iwe ni iphone au android haiwezi kukuzuia kutuma hela kwa namba ile, ukiingia ukurasa feki wa facebook ukaingiza password zako utaibiwa akaunti yako, n.k.

Uhuru / Demokrasia
View attachment 2175928

Iphone akiamua kutoa kitu flani kwenye simu hahofii chochote kwasababu hana mshindani na wateja wake hawawezi kubisha, kwa vile wako peke yao hata wakitengeneza simu kwa laki 6 na wakaamua bei iwe milioni 4 hakuna wa kuwasumbua, hakuna uhindani hivyo wateja wanaburuzwa kukubali kila kitu kinachoamuliwa na kampuni, hebu vuta picha tu kwambaiphone aliamua atoe tundu la earphone ili tu awakamue wateja laki 4 za wireless earphone. Kwa upande wa android ushindani ni mkali kwa hio mteja anaheshimiwa Zaidi, simu flani ikiamua kutoa kitu flani basi wateja wanaokipenda watanunua simu nyingine, ushindani mkali unawanufaisha wateja maana makampuni ya simu yanazidisha ubunifu Zaidi ili kupata wateja na hii inapelekea bei ziwe fair kwa wateja.

Iphone hairuhusu emulators
View attachment 2175962
Kama vile ambvyo baadhi yetu tunavyopenda kusikiliza bongo fleva za zamani enzi hizo tukiwa watoto / vijana basi tupo watu ambao tumezimisi gemu tulizochezaga zamani miaka ya 90’s na 2000’s kipindi ambacho tulicheza playstation x, ps 2, psp, sega, n.k. Android imekuwa msaada mkubwa kwa kuruhusu emulators ambazo tunaweza kuchezea hizo games kwenye simu zetu bila kuwa sebuleni kwenye tv. Kwa upande wa iphones hawaruhusu emulators, hata zilizopo ni za kimchongo na hapo bado zina ubora mdogo. (point kutoka kwa chief - mkwawa)

Jail breaking (iphone) v/s Rooting (android)
View attachment 2166335

Jail breaking kwenye iphones itakuruhusu kufanya mambo mengi ambayo tayari yapo kwenye android kwa mfano customization, kwa upande wa rooting inayofanyika android unapata full controll ya kucheza na system kadri unavyotaka.

………………………………………

Ohhh, nashusha pumzi maana vidole vimechoka kuandika, nawaombeni tu niishie hapa, mambo mapungufu ni mengi ila muda umenibana, yani huwezi amini mpaka leo Iphone haina kile kitaa cha rangi cha notification, Aiseee!!!.. mdebwedo ni mdebwedo tu hata uuzwe milioni 3 na nusu 😂😂
Kwani umelazishwa tumia iphone?

Wa android hawafuati mkumbo bila ku reason?

Ni sawa na kununua ist mwingine kanunua mercedes benz yenye body kam ist unasema ni mkumbo
 
Kama mtu hajui BRAND inajiposition vip kwenye soko ndo utaleta haya mahubiri yenye chuki na wivu wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom