DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
ndo hivo sasa tena wa hatare full malavidaviwewe kama una hubby mi nakata rufaaaaaa.........
hii id watu wananizingua wanaona kama natafuta kugegedwa mkuuDah haya maisha ya dunian umuhimu wa mtu utauona akiondoka. Inabid kumuheshimu kila mtu na kumuombea kwa Mungu.
NIMESIKITIKA SANA ILA SINA NAMNA YA KUKUFANYA UBAKI NA HIYO ID.
utanijua tu usijali inaweza kuwa mamaatwiter au mamaainstagramAwww [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] nakupenda zaidi Mama yangu mwaka unaisha vizuri make sjawah kujutia kukufaham japo sijawah kukuona lakini hua unanifanya nicheke wallah I will miss you naomba id Yako mpya unambie ila ntakufaham tu kupitia mwandiko wako mana uko unique Sana
acha kuniharibia baby wangu ananiuliza eti wewe ni nani?Mi sio mpenzi wako mimi ni mume wako.
Kwanza jiandae tuondoke muda ushaisha party inaanza sa tatu na nusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umewaza mbali ila Mr Natafuta had atabaki mwenyeweutanijua tu usijali inaweza kuwa mamaatwiter au mamaainstagram
ahahaaa ataendelea kutafuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umewaza mbali ila Mr Natafuta had atabaki mwenyewe
Duuh mwambie aache wivu. Mti wenye matunda lazima urushiwe maweacha kuniharibia baby wangu ananiuliza eti wewe ni nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maaana we ushapata sio?ahahaaa ataendelea kutafuta
asante mkuu sasa hivi nimetulizwaWanawake wengi wa Dar wanahisi mtandao ndio sehem ya kupata ushauri kumbe ni uongo...na mitandao hii inawaumiza sana kimahusiano...hongera kwa uamuzi mzuri
sijui nasikia kwako niambieNasikia wewe ni dume.
Muache tu!Anazipiga teke fursa.
wenye mali kaka.unataka niharibu kwa sponsor? utanidhamini?
Kama kuna mtu nimemkosea naomba anisamehe, mimi sina ubaya na mtu wala huwa sihesabu mabaya. Natoa shukrani zangu nyingi kwa kampani yenu.
Shukrani za kipekee kwa mamaafacebook II huyu dada ananipenda kweli. I see a true friendship in her.
Shukrani zangu zingine kwa baby wangu najitoa humu ni muda wa kujenga family sasa. I love you japo huniamini ila jua nakupenda sana.
Asanteni sana nitapita pita kwa account mpya kuwapa hai.
Nimekuwa miss kupatwa na penzi.
Top 10 best female jf member,Namba 10 kumi ni miss natafuta unaona jinsi tunavyokupenda.Dont go anywhere stay with us miss natafutaKama kuna mtu nimemkosea naomba anisamehe, mimi sina ubaya na mtu wala huwa sihesabu mabaya. Natoa shukrani zangu nyingi kwa kampani yenu.
Shukrani za kipekee kwa mamaafacebook II huyu dada ananipenda kweli. I see a true friendship in her.
Shukrani zangu zingine kwa baby wangu najitoa humu ni muda wa kujenga family sasa. I love you japo huniamini ila jua nakupenda sana.
Asanteni sana nitapita pita kwa account mpya kuwapa hai.
Nimekuwa miss kupatwa na penzi.