Nafunga hii account yangu, nimekuwa miss kupatwa na penzi

Dah haya maisha ya dunian umuhimu wa mtu utauona akiondoka. Inabid kumuheshimu kila mtu na kumuombea kwa Mungu.

NIMESIKITIKA SANA ILA SINA NAMNA YA KUKUFANYA UBAKI NA HIYO ID.
 
hii id watu wananizingua wanaona kama natafuta kugegedwa mkuu
 
Awww [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] nakupenda zaidi Mama yangu mwaka unaisha vizuri make sjawah kujutia kukufaham japo sijawah kukuona lakini hua unanifanya nicheke wallah I will miss you naomba id Yako mpya unambie ila ntakufaham tu kupitia mwandiko wako mana uko unique Sana
utanijua tu usijali inaweza kuwa mamaatwiter au mamaainstagram
 
Wanawake wengi wa Dar wanahisi mtandao ndio sehem ya kupata ushauri kumbe ni uongo...na mitandao hii inawaumiza sana kimahusiano...hongera kwa uamuzi mzuri
 
Kama kuna mtu nimemkosea naomba anisamehe, mimi sina ubaya na mtu wala huwa sihesabu mabaya. Natoa shukrani zangu nyingi kwa kampani yenu.

Shukrani za kipekee kwa mamaafacebook II huyu dada ananipenda kweli. I see a true friendship in her.

Shukrani zangu zingine kwa baby wangu najitoa humu ni muda wa kujenga family sasa. I love you japo huniamini ila jua nakupenda sana.

Asanteni sana nitapita pita kwa account mpya kuwapa hai.

Nimekuwa miss kupatwa na penzi.
 
Top 10 best female jf member,Namba 10 kumi ni miss natafuta unaona jinsi tunavyokupenda.Dont go anywhere stay with us miss natafuta
 
Back
Top Bottom