Nafungua Akaunti ya benki NMB mwezi unaisha bado sijamaliza

Nafungua Akaunti ya benki NMB mwezi unaisha bado sijamaliza

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habari wakuu,
Hivi hapa kutakua na shida gani.
Naenda naambiwa leo fulani hayupo ndio anafanya hiyo kazi.

Sasa imefika muda naanza kubembeleza sasa.
 
Kuna benki inaitwa Equity hawa jamaa wako mbele sana ya muda hasa hasa upande wa teknolojia nakumbuka kuna wakati nilpata changamoto ya kadi yangu hasa hasa kuhusu kuhuisha taarifa sikulazimika kufika kwenye tawi lao mambo yote yalifanyika online tu, Nilitamani hata niwape ya soda.

NMB sio vibaya mkaenda kupata semina elekezi pale Equity ili kusudi mjiimarishe kiteknolojia zama za kupanga foleni ndefuuu kupata huduma ni ushamba sana
 
Changamoto ni kwmba hizi bank nyingine hazijafika baadhi wilaya huko mikoa ya ndani ndani hii ni changamoto kubwa sana
 
Nilitelekeza documents zangu za kufungua account NMB, vile vidada vilikua vinaniletea pozi, shenzy kabisa.
 
Back
Top Bottom