Nafungua Masikio Kumsikiliza Emmanuel Nchimbi, na Wengine Wooote wa Aina Hiyo Waliopo Huko

Kalamu

Platinum Member
Joined
Nov 26, 2006
Posts
22,898
Reaction score
33,309
"Ndugu" Emanuel Nchimbi kwa sasa hivi namchukulia kuwa ni mfungwa kama tulivyo wengine wote, waTanzania tusiofurahishwa na mwenendo na mwelekeo wa taifa letu ulivyo kwa sasa.

Sina shaka yoyote, kwamba wapo wengine wengi huko huko aliko Nchoimbi ambao hawajapata ujasiri wa kusema, kama anavyofanya yeye sasa hivi.

Nataka Nchimbi uwe mfano kwa hao waliokaa kimya kwa sababu mbalimbali na wao waseme au waonyeshe mfano kwa njia yoyote waonyeshe kuwa hali iliyopo nchini mwetu sasa hivi haifai kuliko kubaki kimya.

Nchimbi anayezungumza sasa hivi, ni tofauti "kidogo" na Nchimbi aliyekaa kimya na kuwa mshiriki na kutumiwa kuwakandamiza waTanzania.

Pamoja na kwamba wengi tutabaki na wasiwasi juu ya haya anayoyazungumzia, kuwa ni mbinu zilezile zinazotumiwa na hili kundi ovu, yakilenga kuendeleza utawala uleule uliosababisha haya ya leo, inatubidi tumpe fursa ya kumsikiliza na kumwelewa kabla ya kuhitimisha lengo hilo la kuendeleza hila.

Ni muhimu tuelewe tumefika hapa tulipo kwa njia gani, ili tuweze kubadili njia hiyo na kuelekea kwingine.

Ncimbi yupo hapo alipo sasa hivi ili njia iliyopo iendelee. Inaeleweka na hilo ndilo tatizo la yeye kutoaminika kwa wepesi juu ya haya anayoyasema sasa hivi.

Sasa namhimiza na kumshauri, aanze kuzungumzia huko aliko, na mfumo unaoendeleza matatizo haya yanayowakabili waTanzania.

Yoote aliyozungumzia hadi wakati huu, kama haya ya Katiba Mpya na sheria mbalimbali ni maswala yaliyo nje ya mfumo unaoendeleza uovu.

Ili aeleweke bila ya mashaka mengi kwa waTanzania, hana budi ageukie maswala yaliyopo huko ndani ya CCM, chama ambacho kundi limeamua kukinyang'anya na kufanyia uovu wake.

Akielekeza juhudi zake huko, nipo tayari kabisa kufungua masikio yote na kumsikiliza anasema nini.

Emmanuel Nchimbi halii peke yake. Tumemsikia mara kadhaa yule mwingine wa kule Mahakamani akililia nyikani.
Ni nani ajuae, pengine Nchimbi akisikika zaidi kwa mayowe yake, hata akina Camillius Wambura tutaanza kusikia visauti vyao, hata kama vitakuwa hafifu. Akina Generali Mkunda na wengi wengine wa aina hiyo wataanza kujitokeza, na kuungana na juhudi za waTanzania wengine kulikomboa taifa hili toka mikononi mwa hili kundi hatari sana lililoshikilia nchi yetu sasa hivi.

Tumtie nguvu asikike, tusimkatishe tamaa na kumwacha mikononi mwa waovu wazidi kumtumia kwa manufaa yao.
 
Hata Samia enzi za Magufuli iliwahi kuzushwa alikuwa akitaka kujiuzulu kutokana na kutokubaliana na ukandamizaji wa boss wake na pia alienda kumsalimia Lissu Nairobi Hospital na kuonana naye Ubelgiji, kiko wapi.
 
hawasikiki walioko huko alipo yeye, ni kwamba wao ni wafungwa manyampala, wali

Emmanuel Nchimbi halii peke yake. Tumemsikia mara kadhaa yule mwingine wa kule Mahakamani akililia nyikani.
Ni nani ajuae, pengine Nchimbi akisikika zaidi kwa mayowe yake, hata akina Camillius Wambura tutaanza kusikia visauti vyao, hata kama vitakuwa hafifu. Akina Generali Mkunda na wengi wengine wa aina hiyo wataanza kujitokeza, na kuungana na juhudi za waTanzania wengine kulikomboa taifa hili toka mikononi mwa hili kundi hatari sana lililoshikilia nchi yetu sasa hivi.

Tumtie nguvu asikike, tusimkatishe tamaa na kumwacha mikononi mwa waovu wazidi kumtumia kwa manufaa yao.
Mkuu kila aliyeumwa na nyoka akimuona mjusi lazima akimbie vibaya sana.

Watanganyika tumepitia kwenye majaribu mengi sana hasa kwa kupitia kwa maneno matamu sana ya wanasiasa kama MH Nchimbi.

Tumeyasikia sawa lkn tusijipe matumaini ya haraka kupitia hawa wanasiasa.
 
Upo sahihi.
Sijashauri Nchimbi aaminiwe bila ya kuhojiwa.
Unapokuwa kwenye mapambano, hata ya kivita, ni lazima utafute njia unazoweza kuzitumia upate ushindi bila ya hasara kubwa zaidi.
 
Hata Samia enzi za Magufuli iliwahi kuzushwa alikuwa akitaka kujiuzulu kutokana na kutokubaliana na ukandamizaji wa boss wake na pia alienda kumsalimia Lissu Nairobi Hospital na kuonana naye Ubelgiji, kiko wapi.
Sasa mkuu 'Yoda', utaachaje kutumia fursa ya uzoefu kama huo kwa faida yako ya sasa?
Umekwishapata uzoefu, sasa unakutana na hali kama ile ya mwanzo, kwa nini uwe na tatizo la kumdadisi na kumfahamu huyo anayetafuta kukulaghai tena kwa njia zilezile?

Nchimbi ni lazima waTanzania wampandishe mlima mrefu zaidi kama Kilimanjaro, kabla hawajampa uaminifu wa hayo anayoyasema sasa hivi..

Yeye mwenyewe atueleze kwa mdomo wake, kwa nini wamekiachia chama chao kuchukuliwa na kuhodhiwa na kundi ovu kama hili lililopo sasa; kundi ambalo linataka kumtumia yeye kuendeleza yaleyale yanayoendelea sasa hivi.
 
CCM ni ile ile...

Ni kama ilivyo kijiwe cha wahuni ni kile kile isipokuwa wavuta bhangi ndio wanatofautiana...
Ni bahati mbaya hujaelewa ninachozungumzia kwenye mada.
Au pengine umesoma kichwa cha mada tu, hukujisumbua kabisa kusoma yaliyo ndani.
 
Sasa mkuu 'Yoda', utaachaje kutumia fursa ya uzoefu kama huo kwa faida yako ya sasa?
Umekwishapata uzoefu, sasa unakutana na hali kama ile ya mwanzo, kwa nini uwe na tatizo la kumdadisi na kumfahamu huyo anayetafuta kukulaghai tena kwa njia zilezile?

Nchimbi ni lazima waTanzania wampandishe mlima mrefu zaidi kama Kilimanjaro, kabla hawajampa uaminifu wa hayo anayoyasema sasa hivi..

Yeye mwenyewe atueleze kwa mdomo wake, kwa nini wamekiachia chama chao kuchukuliwa na kuhodhiwa na kundi ovu kama hili lililopo sasa; kundi ambalo linataka kumtumia yeye kuendeleza yaleyale yanayoendelea sasa hivi.
Mkuu mazingira yetu ya siasa sio kama ya Kenya kumuwezesha makamu atofautiane vikubwa na boss wake halafu aendelee ku survive tu ndani ya mfumo, never.

Hii ni script ya CCM iliyopangiliwa kwa ustadi mkubwa au Nchimbi anatafuta kwa nguvu nafasi yake 2030 ndani ya CCM yake.
 
Maneno ya Humphrey polepole Nchimbi ameyathibitisha bila ya shaka.
 
Mkuu mazingira yetu ya siasa sio kama ya Kenya kumuwezesha makamu atofautiane vikubwa na boss wake halafu aendelee ku survive tu ndani ya mfumo, never.
Kenya ipi unaizungumzia wewe. Si umemwona Ruto na Mkikuyu wake.
Ile ya Ruto na Uhuru was ana 'abheresion'.
Kenyatta Mkubwa na Moi, unafikiri Moi ange'survive' kama asingeamua kukaa kimya na kuwa kama kinyago?

Hata Moi mwenyewe na akina Satoti, utasema hao walikuwa huru?
 
Samia enzi za Magufuli iliwahi kuzushwa alikuwa akitaka kujiuzulu kutokana na kutokubaliana na ukandamizaji wa boss wake na pia alienda kumsalimia Lissu Nairobi Hospital na kuonana naye Ubelgiji, kiko wapi.
Samia ni mtu LAGHAI; fundi sana wa UIGIZAJI. Hiyo heshima ni vigumu sana kuihamishia kwa mtu kama Nchimbi, ambaye historia yake yote inajulikana ndani ya chama.
Samia na Nchimbi ni watu mablimbali kabisa kwa kila njia. Hawakaribiani kwa vyovyote.
 
Wala hawatofautiani sana, labda elimu na utamaduni tu.

Umewahi kumuona Nchimbi akiwa na msimamo wa jambo lolote kubwa la maana kabla hajawa makamu wa Rais?
 
"Ndugu" Emanuel Nchimbi kwa sasa hivi namchukulia kuwa ni mfungwa kama tulivyo wengine wote, waTanzania tusiofurahishwa na mwenendo na mwelekeo wa taifa letu ulivyo kwa sasa.

Sina shaka yoyote, kwamba wapo wengine wengi huko huko aliko Nchoimbi ambao hawajapata ujasiri wa kusema, kama anavyofanya yeye sasa hivi.

Nataka Nchimbi uwe mfano kwa hao waliokaa kimya kwa sababu mbalimbali na wao waseme au waonyeshe mfano kwa njia yoyote waonyeshe kuwa hali iliyopo nchini mwetu sasa hivi haifai kuliko kubaki kimya.

Nchimbi anayezungumza sasa hivi, ni tofauti "kidogo" na Nchimbi aliyekaa kimya na kuwa mshiriki na kutumiwa kuwakandamiza waTanzania.

Pamoja na kwamba wengi tutabaki na wasiwasi juu ya haya anayoyazungumzia, kuwa ni mbinu zilezile zinazotumiwa na hili kundi ovu, yakilenga kuendeleza utawala uleule uliosababisha haya ya leo, inatubidi tumpe fursa ya kumsikiliza na kumwelewa kabla ya kuhitimisha lengo hilo la kuendeleza hila.

Ni muhimu tuelewe tumefika hapa tulipo kwa njia gani, ili tuweze kubadili njia hiyo na kuelekea kwingine.

Ncimbi yupo hapo alipo sasa hivi ili njia iliyopo iendelee. Inaeleweka na hilo ndilo tatizo la yeye kutoaminika kwa wepesi juu ya haya anayoyasema sasa hivi.

Sasa namhimiza na kumshauri, aanze kuzungumzia huko aliko, na mfumo unaoendeleza matatizo haya yanayowakabili waTanzania.

Yoote aliyozungumzia hadi wakati huu, kama haya ya Katiba Mpya na sheria mbalimbali ni maswala yaliyo nje ya mfumo unaoendeleza uovu.

Ili aeleweke bila ya mashaka mengi kwa waTanzania, hana budi ageukie maswala yaliyopo huko ndani ya CCM, chama ambacho kundi limeamua kukinyang'anya na kufanyia uovu wake.

Akielekeza juhudi zake huko, nipo tayari kabisa kufungua masikio yote na kumsikiliza anasema nini.

Emmanuel Nchimbi halii peke yake. Tumemsikia mara kadhaa yule mwingine wa kule Mahakamani akililia nyikani.
Ni nani ajuae, pengine Nchimbi akisikika zaidi kwa mayowe yake, hata akina Camillius Wambura tutaanza kusikia visauti vyao, hata kama vitakuwa hafifu. Akina Generali Mkunda na wengi wengine wa aina hiyo wataanza kujitokeza, na kuungana na juhudi za waTanzania wengine kulikomboa taifa hili toka mikononi mwa hili kundi hatari sana lililoshikilia nchi yetu sasa hivi.

Tumtie nguvu asikike, tusimkatishe tamaa na kumwacha mikononi mwa waovu wazidi kumtumia kwa manufaa yao.
Whether Nchimbi amesema yote aliyosema sincerely au kinafiki, sioni jinsi ambavyo Serikali ya fazafaka wa Kizimkazi itanufaika na yaliyosemwa. If anything, Nchimbi ametumegea siri kwamba tukibweteka tumeliwa—the mazafakas cannot be counted on to do the right thing. We must keep up the fight!

Nchimbi’s speech was nothing less than a revelation of an unmistakable rift within the regime.
 
"Ndugu" Emanuel Nchimbi kwa sasa hivi namchukulia kuwa ni mfungwa kama tulivyo wengine wote, waTanzania tusiofurahishwa na mwenendo na mwelekeo wa taifa letu ulivyo kwa sasa.

Sina shaka yoyote, kwamba wapo wengine wengi huko huko aliko Nchoimbi ambao hawajapata ujasiri wa kusema, kama anavyofanya yeye sasa hivi.

Nataka Nchimbi uwe mfano kwa hao waliokaa kimya kwa sababu mbalimbali na wao waseme au waonyeshe mfano kwa njia yoyote waonyeshe kuwa hali iliyopo nchini mwetu sasa hivi haifai kuliko kubaki kimya.

Nchimbi anayezungumza sasa hivi, ni tofauti "kidogo" na Nchimbi aliyekaa kimya na kuwa mshiriki na kutumiwa kuwakandamiza waTanzania.

Pamoja na kwamba wengi tutabaki na wasiwasi juu ya haya anayoyazungumzia, kuwa ni mbinu zilezile zinazotumiwa na hili kundi ovu, yakilenga kuendeleza utawala uleule uliosababisha haya ya leo, inatubidi tumpe fursa ya kumsikiliza na kumwelewa kabla ya kuhitimisha lengo hilo la kuendeleza hila.

Ni muhimu tuelewe tumefika hapa tulipo kwa njia gani, ili tuweze kubadili njia hiyo na kuelekea kwingine.

Ncimbi yupo hapo alipo sasa hivi ili njia iliyopo iendelee. Inaeleweka na hilo ndilo tatizo la yeye kutoaminika kwa wepesi juu ya haya anayoyasema sasa hivi.

Sasa namhimiza na kumshauri, aanze kuzungumzia huko aliko, na mfumo unaoendeleza matatizo haya yanayowakabili waTanzania.

Yoote aliyozungumzia hadi wakati huu, kama haya ya Katiba Mpya na sheria mbalimbali ni maswala yaliyo nje ya mfumo unaoendeleza uovu.

Ili aeleweke bila ya mashaka mengi kwa waTanzania, hana budi ageukie maswala yaliyopo huko ndani ya CCM, chama ambacho kundi limeamua kukinyang'anya na kufanyia uovu wake.

Akielekeza juhudi zake huko, nipo tayari kabisa kufungua masikio yote na kumsikiliza anasema nini.

Emmanuel Nchimbi halii peke yake. Tumemsikia mara kadhaa yule mwingine wa kule Mahakamani akililia nyikani.
Ni nani ajuae, pengine Nchimbi akisikika zaidi kwa mayowe yake, hata akina Camillius Wambura tutaanza kusikia visauti vyao, hata kama vitakuwa hafifu. Akina Generali Mkunda na wengi wengine wa aina hiyo wataanza kujitokeza, na kuungana na juhudi za waTanzania wengine kulikomboa taifa hili toka mikononi mwa hili kundi hatari sana lililoshikilia nchi yetu sasa hivi.

Tumtie nguvu asikike, tusimkatishe tamaa na kumwacha mikononi mwa waovu wazidi kumtumia kwa manufaa yao.
CCM imeacha utamaduni wa kujivua gamba?
 
Wala hawatofautiani sana, labda elimu na utamaduni tu.

Umewahi kumuona Nchimbi akiwa na msimamo wa jambo lolote kubwa la maana kabla hajawa makamu wa Rais?
Umegusa mahali penyewe: "Elimu na Utamaduni". Tofauti hizo ni kubwa sana; huwezi kuzipuuza hata kidogo.
Na hasa hiyo ya "utamaduni", ndiyo hasa inayotutafuna sana wakati huu hapa, kama ukitaka kujuwa mzizi wa matatizo yetu ni nini.

Kuhusu "kumwona Nchimbi akiwa na msimamo...."; hili nalo upo sahihi kabisa; na ninajuwa nilishalizungumzia humu humu hata mimi kumhusu yeye.

Sasa kazungumza, na mwrlekeo wa mazungumzo yake ni tofauti na hali hiyo tuliyoizoea; kwa nini tusimpe fursa zaidi ya kumsikia akizungumza.
Uamzi wetu utaendeshwa na hayo tunayosikia akiyazungumza. Kwa nini tusimtie moyo azungumze zaidi.

katika yooote aliyokwisha zungumza, kuna hata moja ambalo tunaweza kusema ni mambo yasiyofaa, au kwa vile yamezungumzwa na mtu ambaye hatukutegemea ayazungumze.
haya maneno yangezungumzwa na mtu mwingine, tungemhoji mtu huyo?
 
CCM imeacha utamaduni wa kujivua gamba?
Ngoja nianzie mbali kujibu swali lako:
Nilisha andika humu JF mara kadhaa sasa kwamba "Njia sahihi ya Tanzania kupona, ni kwa CCM kufa.

Maneno haya siyo mepesi hata kidogo, na ni vigumu kuyaamini, lakini mimi naamini hiyo ndiyo njia pekee iliyopo sasa kwa Tanzania Mpya kuzaliwa..

Ninachoeleza katika mada hii, ni kumshauri huyo huyo Nchimbi aizungumzie hiyo hiyo CCM iliyotufikisha hapa, na asikazane tu na haya maswala yaliyo nje ya chama hicho.

Matatizo yetu yote yamo ndani ya CCM. Namtaka ayazungumzie hayo zaidi, halafu tuendelee mbele.
 
Nchimbi’s speech was nothing less than a revelation of an unmistakable rift within the regime.
We need to hear more about that ""rift" to confirm and reinforce what we're hearing.

I 'm encouraging him, especially to focus on the instrument that is being used to oppress us, CCM.
 
Kwa nini unafikiri anaweza kuutoboa mtumbwi aliopanda na wenzake?
 
Back
Top Bottom