Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Mna miradi mingapi, hivi NGOs hizi none government org si none profitable organization mnanufaika vipi na hizi project na je mnatofauti gani na hivi vikundi vya charity zinazosaka donors piaAache ujinga huyu... Hakuna step hizo. Ngo ili ipate fund lazima iwe giant. Na iheshimike au kuwa na CV kama unavyoona kuomba kazi TU. Ngo nyingi kwa sasa zinasota kwa pesa za CSR tu. Wanatumika kama sehem za marketing kwa makampuni mkubwa. Mradi ukute wa public health na CDC au pepfar wameweka hela pale sio kitoto. Sisi tuna miaka 10 sasa mirdi inenda kwa hela za kifungua kinywa tu