Nafurahi sana maaskofu wa KKKT wanavyowaumbua TEC

Unapowaona wengine ni wapumbavu wao nao wanakuchukulia hivyo hivyo .
 
Umechanganya madesa, niwemugizi ni wa tec kule rulenge ngara na si wa kkkt
 
Taarifa TEC sio za binafsi,TEC ina namna yake ya kuwasiliana na waumini wake na hii huja baada ya vikao vya baraza(TEC) mfano,nyaraka za kwaresma,pasaka,majilio na noeli na pale wanapoona kuna haja ya kufanya hivyo.Askofu mmoja mmoja huwa wanaongea na waumini wao kwenye mimbari zao katika maeneo yao ya kichungaji,muwe mnaenda na kamera zenu huko.
 
Unapenda Udaku
 
Maaskofu takataka,

Vibaraka wa mabeberu,

Hawana nia yoyoye njema na nchi yetu zaidi ya kuwatumikia mabwana zao.
 
Mungu akusamehe ndugu yangu
 
Kadinari Pengo wa Katoliki hana tofauti na Askofu Malasusa wa KKKT, Malasusa anadrift kivyakevyake na muda wake wa kuhudumu ulikwisha pita.
 
Hapa , swala la Lissu umelifanya jepesi kama lisilohitaji kulitolea kauli. Ndiyo maana hatushangai mpaka leo hakuna uchunguzi wowote ulio rasmi uliokwisha kufanyika.

Ukweli ni kuwa makanisa yayokaa kimya viongozi wa dola wanapowanyanyasa waumini wao . Hayafai kuwa kimbilio la wanyonge (wananchi). Bali ni majukwaa ya wanasiasa wasaliti na watesaji.
 
Maaskofu wa katoliki ni wanafiki sana sana wao huwa against na rais asiye mkatoliki !!! Kama rais ni mkatoliki hata avurunde vipi hawaongei !! Nakumbuka wslimsumbua sana kikwete!!!
Hawa ni wanafiki sana wanajifanya hawaoi kumbe wanalaw....... Watoto hovyo kabisa
 
KKKT = UJERUMANI=CHADEMA walisema zamu yao ya kutoa rais ilikuwa 2015 kupitia Lowassa-sasa unaweza kuelewa kwanini wao si kama wale wa TEC
Bora tuu kuliko hawa wafira... Wanajifanya hawaoi
 
Ni ujinga kufananisha utendaji wa kanisa lenye waumini wasiofika hata 8m na kanisa lenye waumini 30+ Tanzania pekee na lililoenea ulimwengu mzima.Effect ya maneno ya viongozi wa RC yanawafikia watu wengi zaidi hiyo ndiyo sababu ya umakini wa RC kabla ya kufanya maamuzi ya matamko tofauti na KKKT ambalo ukienda hata hapo Malawi hawapo kabisa!
 
Ndio maana KKKT haiwezi kutoa Rais wa Tanzania kwasababu mnapingana na watawala
 
Mapadri wanawalawi...... Waumin hii ni riport kutoka Vatican !!! Ajabu kabisa shame on you and. Your clergs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…