Nafurahia magumu anayoyapitia Fella kuhusu afya yake na aliowasaidia kumtenga haswa chama kile

Nafurahia magumu anayoyapitia Fella kuhusu afya yake na aliowasaidia kumtenga haswa chama kile

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Kwa anayoyapitia Fella binafsi nimefurahi sana.

Natamani yamkumbe zaidi ya hapo mpaka akili imkae sawa.

Jamaa kalia weeee kaona isiwe kesi mkewe kaja kutoa povu eti kwa nini aliwasaidia wanamkataa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Jamaa acha apitie magumu tu maana ni kada wa chama kileeeeeee hivyo msaada au huruma ya msaada aelekeze kwa watawala wa chama kileee au zile asilimia zilizompitisha mtu yule.

Lolote bay...... au lakini basi 😂😂😂😂😂😂

Mwaka huu watakula walipopeleka mboga.

Karma is really.
 
Maceleb kunako bongofleva/movies ni matajiri wakiwa wazima wa afya tu,wakiota hata busha wanatiatia huruma hawamudu kujiuguza!!
Mara nyingi wao hawana asset ya kumpa msaada kwakuwa wanawekeaa katika kula vizuri, kuvaa vizuri na starehe hasa hivi fela kweli tangu miaka 10biliyopita angepanda hata ekali 50 za miti Leo hii si angekuwa anakula taratibu
 
Back
Top Bottom