mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Nafurahia sana hii taarifa ..Tena naomba asife mapema , ibilisi na malaika wake wamkande kisawasawa
Kabisa.Tusubiri kifo chake ili watanzania wote wenye akili timamu na mapenzi mema na nchi yetu tufurahie
CcmKawavusha? Alikuwa anajivusha mwenyewe kwa mgongo wa hao ‘watu’.
Pesa zake alipeleka wapi??Aliowavusha jana ndio wanamzamisha leo!, ama kweli shukrani ya punda mateke.
Ninampa pole sana Komredi Fella. Ingekuwa inawezekana ningewaambia wasanii waahirishe kuumwa kwa sasa kwa sababu wachangiaji wa matibabu wengi wao wana hasira mbaya.
maisha nikupanda na kushuka!.Pesa zake alipeleka wapi??
😂😂😂😂😂Ninampa pole sana Komredi Fella. Ingekuwa inawezekana ningewaambia wasanii waahirishe kuumwa kwa sasa kwa sababu wachangiaji wa matibabu wengi wao wana hasira mbaya.
Ni aje mtoto wa bimsumi kutoka lumumba
Tanzania wanaoumwa ni watu wengi sana yeye ana umuhimu gani kuliko wengine?Kwa anayoyapitia Fella binafsi nimefurahi sana.
Natamani yamkumbe zaidi ya hapo mpaka akili imkae sawa.
Jamaa kalia weeee kaona isiwe kesi mkewe kaja kutoa povu eti kwa nini aliwasaidia wanamkataa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Jamaa acha apitie magumu tu maana ni kada wa chama kileeeeeee hivyo msaada au huruma ya msaada aelekeze kwa watawala wa chama kileee au zile asilimia zilizompitisha mtu yule.
Lolote bay...... au lakini basi 😂😂😂😂😂😂
Mwaka huu watakula walipopeleka mboga.
Karma is really.
Tanzania wanaoumwa ni watu wengi sana yeye ana umuhimu gani kuliko wengine?
Kama anataka akatibiwa India ajilipie, auze mali alizonazo. . Hawa matajiri ni wabinafsi sana, pesa zake anataka aweke akiba kwenye kutibiwa anataka adundulize kutoka kwa maskini.