Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

Can we link up please
 
Yaani walishakutumia weeeee ndo unataka umkazie mwenzio mpaka ndoa🤣
 
Ukisikia awe na kazi tu jua pana kuombwa pesa hapo
 
Ukienda kununua blauzi tu unataka ujaribu kama imekukaa kabla hujalipia, unataka kuuza mbuzi kwenye gunia?
 
Wazee tunawekwa kando kwenye kila nyanja.....ndio maana vijana hawautaki uzee......wazee tumekuwa wa kula Kwa macho......... inshallah
 
Nawe pia uwe tayari kutoomba hela/kuhudimiwa kwa aina yoyote mpaka utakapoolewa
 
Na usiwe unavaa nguo za mitego mitego mbele yake
 
Am honest
Mimi ni 25 Age.
Work : None(current status naend kuvaa joho kwanza-Degree)
Dini: muislamu kbsaa!!
Then ulivovitaja vyote ninavyo.
Hata ukitaka tupime mpaka mara ngap tumesex am ready am confident
But...Mimi mwenyew nimetoka kifungoni sikuwa sex liker
But now , Hata nikiwa na mtu Anahitajika kunimwaga Oil nisiwe muongo.

Kama utahitaj kufaham mengi we can take contact for each other .
Welcome
 
Ngoja, ukifika miaka 35 bila kuolewa, utajutia hiki ulichokiandika leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…