Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

Yaani mcheze mechi bila mazoezi? Wa hivyo walishakufa🤣🤣🏃🏽‍♀️
 
Kigezo cha kutoombwa sex had ndoa tayar ushakosa mume, hzo sifa zngne n kutuchanganya akili tu.
 
Habari mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mimi bila sex hadi ndoa.

Elimu: Chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini: Muislamu .
Muonekano: Mwili wa wastani mweusi.
Situmii kilevi chochote.

SIFA ZA NIMTAKAE.
Awe muislamu, umri miaka 25 Hadi 30. Awe na kazi . Elimu kidato cha nne nakuendelea Ila ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo.

Awe mwembamba, mrefu au wastani rangi yeyote. Mwenye sifa hizo anifate PM.
Kwa ME, sex ni hitaji la msingi..
Utamruhusu awe anapiga shoo kwa mwingine wakati anakusubiria?
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Ngoja nitafute alipojibu hili swali
Hawezi kujibu maana atakuwa ameshaUnsubscribe na kutoa notifications za huu uzi. Maana hapa ni kupeana presha sio kutafuta mume
 
Mpendwa hapa utadhalilishwa bure kama kweli unataka mume wa halali nifuate pm nikufahamishe kitu cha kufanya ,hawa watu wanajua ndivyo kama dini zote zimekataza kuingiliana kabla ya kuoana lkn mambo yamekuwa vise vasa ndio maana watoto wa haramu ni wengi sana bongo kuliko wa halali result yake majanga ni mengi sana.
 
kwa uelewa wangu hajasema anataka mwanaume ambae hajawahi sex bali ambae hatomuomba sex mpk ndoa,,ndoa Ni Jambo la kheri na yeye kaona lianze kwa kheri sio na dhambi ya uzinzi,,kwa nn kumuuliza Kama Ni bikra Kwan yeye kataka mwanaume bikra,,,hata kama hana hiyo bikra ndio iwe sbb ya yeye kuendelea na uzinifu hamjui Kuna kuomba toba,,je Kama Ni dhambi aliyokwisha tubia,,na pia Kuna sbb nyinginezo ambazo zinaweza kua sbb Hana bikra ukiacha kuonjwaonjwa,,mmekazana mwanaume wa hivo hayupo kuhalalisha uzinifu,,,mnajifanya mna akili kuliko aliyewaumba akakataza uzinifu angeona Kuna ulazima wa kuonjana kabla angeruhusu. Ni uzinzi na ushetani ndo umewatawala. Kama hujapata utapata kipenzi wanaume wenye hofu ya Mungu wapo usishawishiwe na wafuasi wa shetani kazi yao kumrahisishia shetani kazi yake, wote Kati yao hamna muoaji hapo. Mungu anakupa wa kufanana nae,,wazinzi kwa wazinzi wenzao,,washirikina kwa washirikina wenzao,,wacha Mungu kwa wacha Mungu wenzao..
 
Ishu ni kwamba watu hawataki kuuziwa mbuzi kwenye gunia.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom